Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

Jamani nina wake wawili kila mmoja anaishi nyumbani kwake nyumbani za kawaida sana ila wanazipenda mana ni watu wa dini zaidi , wanapendana saaaaana wao kwa wao tena sana mana nimejaribu kuwachunguza kwa kiasi kikubwa nimegundua wanapendana kwakweli ila undani zaidi wa upendo wao anaujua mungu na kila mmoja ana mtoto mmoja nina miaka 29 wenyewe mmoja ana 23 mwingine 21 tatizo langu sio wao ni mimi binafsi kuwatanguliza katika story ili mjue nimejaribu kujitetea kiasi lakini wapi nikwamba ninapo kuwa na mmoja kati yao faragha nikama nauwaga vile mana naweza kaa hapo juu kwa muda wa DK 45 ndio nifikie mshindo wa kwanza muda huo anakuwa analia mpaka naisi atazimia yani na sijawahi kutumiwa dawa toka nikiwa kijana mbichi zaidi nilikuwa mtu wa matizi sana push up naweza kupiga 100 ndio nisimame then nipige 50 kisha 50 tena mpaka zifike 300 na chaajabu yeye anakuwa Kesha enda mishindo ya kutosha haijawahi kutokea nimefanya nao nikaenda mishindo miwili mana nikijaribu hawataki mana nahisi nitakwenda mpaka asubuhi na nisi kojoe hii nitatizo au mana nimesha cheki afya iko sawa na situmiagi nguvu yeyote ya ziada hii sio atari jamani mana hata wenyewe nahisi wanatamani wazoee mapigo yangu lakini hayazoeleki hii ni ugojwa ama nguvu ni nyingi sana au nini ??? Nisaidieni kwa uelewa wenu juu ya hili please ...
Kwanza ndoa ya watu wengi kwa nyakati hizi za utandawazi si ndoa bali ni maigizo tu.Wanawake wanaweza kukubaliana vizuri kuwa utakapokuwa kwa mmojawapo yule atakaekuwa si zamu yake nae anaenda kwenye mchepuko wake.Kama wewe mwanaume unajiona una nyege nyingi na wao wanawake nao wapo wenye nyege nyingi ambao hawawezi wakusubiri wewe tu kama Mungu.
 
sasa unataka ulazimishe tatizo wao wameshindwa himili labda kwa kuwa hauko romantic na huwaandai ila kazi unawapa safi na hongera hapo uko safi kabisa piga show
 
[emoji15] [emoji15] mkuu umewezaje kujua moto wa mzee wako?
Nilipo mshirikisha juu ya jambo langu aliniambia hata mama yako anadai nikileta mke mwingine pamoja na umri wangu nitammudu mana pigo zangu nizadunia nyingine , duuuuh nikajua shuhuli yake sio ya photocopy ni original
 
Kwa hizo nguvu ulizo nazo inabidi uongeze wake wengine wanne sheikh. T

umbafu kabisa, hizo nguvu si uende ukafanye kazi unabaki kuwaza nguvu za kufanya ngono pekee.


Jamani nina wake wawili kila mmoja anaishi nyumbani kwake nyumbani za kawaida sana ila wanazipenda mana ni watu wa dini zaidi , wanapendana saaaaana wao kwa wao tena sana mana nimejaribu kuwachunguza kwa kiasi kikubwa nimegundua wanapendana kwakweli.

Ila undani zaidi wa upendo wao anaujua mungu na kila mmoja ana mtoto mmoja nina miaka 29 wenyewe mmoja ana 23 mwingine 21 tatizo langu sio wao ni mimi binafsi kuwatanguliza katika story ili mjue nimejaribu kujitetea kiasi lakini wapi nikwamba ninapo kuwa na mmoja kati yao faragha nikama nauwaga vile mana naweza kaa hapo juu kwa muda wa DK 45 ndio nifikie mshindo wa kwanza.

Muda huo anakuwa analia mpaka naisi atazimia yani na sijawahi kutumiwa dawa toka nikiwa kijana mbichi zaidi nilikuwa mtu wa matizi sana push up naweza kupiga 100 ndio nisimame then nipige 50 kisha 50 tena mpaka zifike 300 na chaajabu yeye anakuwa Kesha enda mishindo ya kutosha haijawahi kutokea nimefanya nao nikaenda mishindo miwili mana nikijaribu hawataki nahisi nitakwenda mpaka asubuhi lakini nisifike kilele.

Hili tatizo au maana nimesha cheki afya iko sawa na situmiagi nguvu yeyote ya ziada hii sio hatari jamani mana hata wenyewe nahisi wanatamani wazoee mapigo yangu lakini hayazoeleki hii ni ugojwa ama nguvu ni nyingi sana au nini ??? Nisaidieni kwa uelewa wenu juu ya hili please .
 
Mimi sijui sijakuelewa au hiyo style yako ya kuandika ndo inanichanganya!



Walioelewa naomba mnieleweshe maana nimeshindwa hata kumalizia kusoma
Anataka ukawasaidie wake zake wanashindwa kuvuka dakika 45 wakati yeye anataka mpaka asubuhi
 
We nae miaka 29 wake wawili wa kazi gani na wewe mtoto mdogo ukifika mika 60 utakuwa nao 7
 
nilikuwa naufuatilia huu uzi kwa karibu niujue uwongo wako,umenasia hapa,wewe unejuaje mzee wako kama ana moto huo wa cc1000?
Nishajibu ilo swali mana niswali jepesi sana kama nyusi ya kichanga cha mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom