Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Dereva atakuwa anatumia mirungi au mkongo sana.
Nalog off!
Nalog off!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 Lala wewe mwenzio anakusubiriaAma ipelekwe Jukwaa la usafiri?
Acha tunywe chai za JF jamani.🤣 🤣 🤣 Lala wewe mwenzio anakusubiria
Mwonee huruma walau, dah!Acha tunywe chai za JF jamani.
Tunampa msaada walau afike.Mwonee huruma walau, dah!
Kwa hiyo unamshauri abadili njia au aongeze kasi ya mwendo?Tunampa msaada walau afike.
We masaa matatu hufiki wese likikata usiku huu itakuwaje.
Anaenda tuuu hajui ndo kwenyewe yupo tu anaangaza macho.
Mi naona aghairi tu.Kwa hiyo unamshauri abadili njia au aongeze kasi ya mwendo?
Aghairi tena mbele ya utamu & raha ya safari jamani!Mi naona aghairi tu.
Kama gari haikufikishi ni heri utembee kwa mguu tu.