Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kama haijafika unapoenda huwez kamwe kufika unapoenda.Pia aepuke kupita njia za kona kona zinamchelewesha kufika aendako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]reverse kama sio mtaalamu atazama kwenye tope na ashidwe kutoka,mvua hizi hatari kweli
[emoji3][emoji3][emoji3]Ama ipelekwe Jukwaa la usafiri?
Ndege John si umesoma ni ya Wakubwa jamani?Nimetoka kapa asee mmenichanganya
Sijaomba ninalijua toka kitambo halina dereva. Ndio nikawa naliendesha yaani hakuna raha kbs ila kwa nje lipo bomba.Magari ya kuomba nayo sio mazuri.
Unaweza ukakuta umezoea gari lako linatingisha au linarukaruka kama limekata shokomzoba kisha unaomba gari imetuliaaaa hata ukiingia kwenye shimo halishtuki na ukitest moto haliwaki haraka ukipiga resi limetulia. Tatizo hilo.
Nakutumia plate number nadhani hili gari ndio lilinipa upupu maana niliumwa kuwashwa nikaleta ombi la msaada wa kitabibu.Nitumie plate number ya gari pm ili niisake kwa ajili ya ukaguzi. Ili nijue tatizo ni gari au dereva ndio hana leseni!
Nakupa lote maana mimi nilikuta limepark halina dereva.Nyie ndo mnatuharibia barabara mnatembeza magari hammalizi safari mnaacha barabara imejaa mipasuko tukija na magari yetu classic tunaishia kuvunja shaft za magari. Angalia aina ya oil unayotumia nyingine ndo hizo gari linaishia kutoa moshi tu, kama si hivyo badili gari haraka chukua chuma ambacho unapata mzuka kukiendesha, gari liwe safi, suspension ziwe kamili na system ya umeme iwe poa. Kuepusha ajali usiendeshe gari ukiwa na stress au uchovu mwingi. Kama hautojali niazime hilo gari nipigie safari fupi nikuletee mrejesho kama shida ni gari [emoji23]
Situmii hayo mavitu mimi.Ulipaka mundende au ulitumia vitu vikali?
Nalog off
Zipi hizo njia za kona konaPia aepuke kupita njia za kona kona zinamchelewesha kufika aendako
Kivipi saa tatu nitembelee namba 1 hapana.Kuna haja pia ya kuiangalia Gear box..! Utakuta yeye anatembelea #1 tu wakati ili gari ichanganye inabidi iende gear #5
Ukweli nilishuka bila kufika safari na mvua hizi nimejibanza tu hapa kama vipi naomba gari lako linifikishe niendapo. Mimi ni dereva muaminifu sipendi kuovertake.Kama gari haikufikishi ni heri utembee kwa mguu tu.
Du. Nyie ndio madereva wabovu. Reverse inatumika wakati gani.Rudi reverse siyo mbele tu.
Unatumia mafuta ya videbe wakati gari yako ina tatizo la pump,nenda shell mkuu. Au inawezekana huna uhalali na hilo gari wewe ni day waka,Nenda show room ukanunue gari mpya yenye EFD receipt.Hii hali ipo kwa kila dereva? Nina tatizo la kutofika kabisa mwisho wa safari hata nikibadilisha rubber maana mimi ni mpenzi wa kutumia raba naogopa mpigiri.
Juzi moja nilipata gari moja hivi nikaendesha kwa muda wa saa 3 lakini nikashindwa kufika kbs safari ya Kibaha tu. Nikabadilisha raba wapi nikalala njiani.
Nikaamkia asubuhi holaa gari linaunguruma hasa mpaka linachoka lakini mimi dereva nashindwa kufika, na sio kama gari mbovu linasimama hasa ila hali hii ikeshanitokea mara nyingi uwa napata hasara tu gari linaondoka bila kufika safari lenyewe linamwaga oil sana.
Je, jamani mimi dereva goigoi ama natakiwa kuendesha guta na TOYI?
Mimi naendesha Bulldozer halina steering wheel ni levers tu. Utaweza ku operate?Ukweli nilishuka bila kufika safari na mvua hizi nimejibanza tu hapa kama vipi naomba gari lako linifikishe niendapo. Mimi ni dereva muaminifu sipendi kuovertake.
Aina gani SAKAI ama KOMATSUMimi naendesha Bulldozer halina steering wheel ni levers tu. Utaweza ku operate?