Nyie ndo mnatuharibia barabara mnatembeza magari hammalizi safari mnaacha barabara imejaa mipasuko tukija na magari yetu classic tunaishia kuvunja shaft za magari. Angalia aina ya oil unayotumia nyingine ndo hizo gari linaishia kutoa moshi tu, kama si hivyo badili gari haraka chukua chuma ambacho unapata mzuka kukiendesha, gari liwe safi, suspension ziwe kamili na system ya umeme iwe poa.
Kuepusha ajali usiendeshe gari ukiwa na stress au uchovu mwingi. Kama hautojali niazime hilo gari nipigie safari fupi nikuletee mrejesho kama shida ni gari [emoji23]