Nachingwea, Lindi: Mwanamke wa miaka 28 ajiua baada kuchepuka

Mume alijibu kirahisi mno kitu ambacho sio kawaida kwa mwanaume,inawezekana alijua kuna siku isiyo na jina mumewe angemgeuza asusa,akajiwahi.

Mtu anayejibu kirahisi hivyo ni wa kuogopwa
 
Aah wapi, uchunguzi uendelee!!
 
Kuchepuka tu kumemfanya ajiue? Atakuwa na sababu nyengine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…