Nachopendea pombe kali zinaleta njaa

Kula hij mixer ya Eagle na Hanson utanishukuru
 
Pombe zote zinaleta njaa, ila zikishiakudhuru sana ndio utakuwa husikii njaa wala nyongo, we utakuwa unataka tu vyombo
 
Kha Kha kha-Kha! Achanganye na kula hvo vitu halafu eti atakuja kukushukuru? Oiyeyai- arananuu alo! Huo muda ataupata wapi ilhali atakuwa amesha R.I.P?[emoji1787][emoji1787]
Hahaahahaha
 
Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia.
Maada tayari.
Ngoja nikajitafutie K - Vant nishushie na mkuu wa meza a.k.a. mdudu🐷
 
Kwanini Uwe Na Mentality Ya Uharibifu Wa Mwili Wako Mwenyewe?

Ni Sawa Na Kukata Tamaa Ya Kuishi Ishi Vyema Japo Kufa Kupo.
mkuu ukifa maini yanaenda kuoza sasa kwanini ufe na maini mazima alafu unaweza usinywe pombe ukafa na covid au maralia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…