Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kula hij mixer ya Eagle na Hanson utanishukuruNdiyo, mfano nyanya chungu huwa natafuna mbichi kabisa na ninapata mzuka haswaa.
FAIDA:
Huimarisha na kuweka sahawia sukari halisi iliyopo mwilini mwako na kudhibiti sukari ya ziada itokanayo na vinywaji kama soda, juisi za viwandani n.k.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app