Nachukia kupigiwa simu halafu mtu anadai eti amekosea namba

Nachukia kupigiwa simu halafu mtu anadai eti amekosea namba

Ukisema ivyo ukiwa na maana gani yani hakukosea mpaka kukupigia ww sio au vip
 
Na wakat swala la kukosea kibina daamu lime ambatan nq uzaifu alio ubwana nao kwa maana hakukamilika mwana adamu
 
Back
Top Bottom