kassim kimoby JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 588 Reaction score 463 Mar 5, 2023 #21 Ukisema ivyo ukiwa na maana gani yani hakukosea mpaka kukupigia ww sio au vip
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Mar 5, 2023 #22 winston20 said: Afu sjui kwanini wengi wanakuaga wasukuma[emoji23][emoji125] Click to expand... Wasukuma inabidi watuweke bayana ni kwamba huwa hawasave namba au ni wanakosea kuandika wakipewa namba
winston20 said: Afu sjui kwanini wengi wanakuaga wasukuma[emoji23][emoji125] Click to expand... Wasukuma inabidi watuweke bayana ni kwamba huwa hawasave namba au ni wanakosea kuandika wakipewa namba
kassim kimoby JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 588 Reaction score 463 Mar 5, 2023 #23 Na wakat swala la kukosea kibina daamu lime ambatan nq uzaifu alio ubwana nao kwa maana hakukamilika mwana adamu
Na wakat swala la kukosea kibina daamu lime ambatan nq uzaifu alio ubwana nao kwa maana hakukamilika mwana adamu
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 1,740 Reaction score 4,859 Mar 5, 2023 #24 Hao wanaokosea wakishaosea utasikia.. " Aaah sio huko"