aliisaac1000
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 407
- 272
Mziki wa kwenye radio na tv(cd),beat zake zimetengenezwa kwa computer,inapokuja kuzipiga manually hizo beat ndio mthihani unapokuja,ni ngumu mno kufanya kazi inayofanywa na computer kwa ufanisiSijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
Tatizi liko kwenye pumzi.Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
fact!yaani mtu unalipa kiingilio,
ukifika unaanza kupewa adhabu ya kuinua mikono juu Na kidole cha mwisho.
badala ya wewe uimbiwe, mic inageuziwa kwako wewe ndo uimbe.
msanii anapayuka tuu haupati Ile vibe ya mziki,
hatulii stejini, anakimbiakimbia Tu huku Na kule bila kuwa Na pattern ya mziki
mwisho wa siku unaanza kuulizwa maswali like "niimbe au nisiimbe?"
Ni Mara Mia waimbe playback Ili ilete Ile rhythm.
very stupid, hawa waandaaji Na wasanij Wao wamesahau kuwa hizo nyimbo washabiki wanazijua vizuri and kwenda kuwaona huko Ni kwamba Kuna kitu extra wanakitaka, Wao wanakimbiakimbia Tu stejini, very boring
ukitaka kwenda nao sawa labda ulewe kwanza
Hahahaha mkuu umenifurahisha saana. Sijui kila msanii kalipwa ngapi.ila nandi pia anajitahidi kwa livrNachowapendea wabongo ni sapoti wanayotoa.... Wanaimbishwaa.. Msanii akiperform 1hr, anaimba dk5 tu,,, 55 wanaimba mashabiki.