Nachukia kuwaona wanamuziki wengi wa bongo flava wanapo perform live

Nachukia kuwaona wanamuziki wengi wa bongo flava wanapo perform live

aliisaac1000

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
272
Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
 
Msanii bongo akishatengeneza jina na hitsong moja au mbili anajua amemaliza kila kit. Hakuna zoezi la kuimba live wala kuujenga muziki upya ili uwe na ladha na uvutie. Fiesta ya leo naona hakuna uhusiano wa sauti na wapiga vyombo. Wasanii wenyew wanadonoadonoa tu hawaimbi vizur.... Poor fiesta. Dah bongo muziki badoooo
 
wasanii wa clouds hao wa hovyo hovyo
 
Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
Mziki wa kwenye radio na tv(cd),beat zake zimetengenezwa kwa computer,inapokuja kuzipiga manually hizo beat ndio mthihani unapokuja,ni ngumu mno kufanya kazi inayofanywa na computer kwa ufanisi
 
Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
Tatizi liko kwenye pumzi.
 
Yaani hakuna jambo linanikera kama kulazimishwa kunyanyua mikono.Eti mikono juu,mikono juu.Mara piga kelele!
 
kidoogo Ben Pol ndo huwa anajitahidi kupiga live...nazani.hii inatokana.na uzoefu alioupata wakati akiwa THT by then. Wengine wote naona wananikorogea kinyesi tu jukwaani,bora waendlee tu na play back mpk.watapokuwa vizur na ata wapigaji vyombo wanapiga vyombo km dansi bwana... wimbo unakuwa doro wala hufurahii hasa.
 
yaani mtu unalipa kiingilio,

ukifika unaanza kupewa adhabu ya kuinua mikono juu Na kidole cha mwisho.

badala ya wewe uimbiwe, mic inageuziwa kwako wewe ndo uimbe.

msanii anapayuka tuu haupati Ile vibe ya mziki,

hatulii stejini, anakimbiakimbia Tu huku Na kule bila kuwa Na pattern ya mziki

mwisho wa siku unaanza kuulizwa maswali like "niimbe au nisiimbe?"

Ni Mara Mia waimbe playback Ili ilete Ile rhythm.

very stupid, hawa waandaaji Na wasanij Wao wamesahau kuwa hizo nyimbo washabiki wanazijua vizuri and kwenda kuwaona huko Ni kwamba Kuna kitu extra wanakitaka, Wao wanakimbiakimbia Tu stejini, very boring

ukitaka kwenda nao sawa labda ulewe kwanza
 
fact!
 
Nachowapendea wabongo ni sapoti wanayotoa.... Wanaimbishwaa.. Msanii akiperform 1hr, anaimba dk5 tu,,, 55 wanaimba mashabiki.
 
Nachowapendea wabongo ni sapoti wanayotoa.... Wanaimbishwaa.. Msanii akiperform 1hr, anaimba dk5 tu,,, 55 wanaimba mashabiki.
Hahahaha mkuu umenifurahisha saana. Sijui kila msanii kalipwa ngapi.ila nandi pia anajitahidi kwa livr
 
when it it comes to live performance wasanii wa bongo ni supu maji matupu...,ukitaka kuonja utam wa live performance mtazame fally ipupa,ferre golla na werrason!
 
Its better waimbe hayo ma-playback yao inaudhi, wanahitaji wajifunze na kuwekeza kwenye kuimba live,bado sana nyimbo inayoimbwa live unakuta ni tofauti na original song,sasa sielewi live zao,punzi hawana, wanaimba nje ya key aaaaaaghhh
 
Hata ka barnaba kanajitahidi tu ila hao wengineo ni aibu tupu!
Jana nilijitahidi kupiga kodo mubashara lakini nguvu zangu za kustahmili ziliishia kwa dogo janja nikaamua kumwaga usingizi sasa sijui waliohudhuria tena wamesimama kama wacheza kwata huku kila msanii aingiaye anakuwa kamanda wao akiwaamrisha hiki na kile walikuwa na hali gani?
 
Back
Top Bottom