Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Kwa huo umri afadhali mkuu, me naongelea yule katoka kunyonya ni mdogo sana. Na hata mzazi akimtaka mtoto mwaka 1-2 hapo bado kuna mateso ya kihisia kwa mtoto na kukosa upendo wa mzazi.

Hii siyo sawa mkuu,
Kwangu mimi lakinilakini
 
Sio kwako tu haikubaliki hiyo sema watu wanapenda kufanya mambo yawe mepesi
 
Wapo ila mm ninao wafahamu watoto wao wengibwamepelekwa mkoani na kama ni dar bas kwa ndugu
Mimi Dada yetu kaleta mtoto nyumbani Baba kila siku alikua ana mfukuza nyumbani huyo Mjuu wake anasema huyu mtoto aondoke aende kwao hapa siyo kwao na anamwambia Mama wewe kwanini nimfuka huyu mtoto una mtetea, Kwasasa Mzee wetu hayupo na Sisi watoto wake tunamfukuza huyu Mjuu wa Mama na tumesha mwambia ukiendelea kuishi nae hapa nyumbani huta pata pesa zetu utateseka na njaa.
 
Sio kwako tu haikubaliki hiyo sema watu wanapenda kufanya mambo yawe mepesi
Ndiyo hapo kaka, yaani mtoto anakuwa mkiwa ka'yatima. Malezi ya mzazi ni mhimu sana tu.

Namshukuru Mungu, me Baba angu alikuwa hawezi ruhusu mtu alale kwa ndugu pasina ulazima, siuze kuishi kabisa!
 
Mfukuzeni yaani mwambieni dada yenu achukue mtoto wake tembo ashindwi na mkonga wake mpeleke akaone watoto wanasumbuaje
 
Ndiyo hapo kaka, yaani mtoto anakuwa mkiwa ka'yatima. Malezi ya mzazi ni mhimu sana tu.

Namshukuru Mungu, me Baba angu alikuwa hawezi ruhusu mtu alale kwa ndugu pasina ulazima, siuze kuishi kabisa!
Sasiv mzazi akikaa na mtoto uatsikia nitakupeleka kwa bibi yako mm nifanye mambo yangu unanibana tu
 
Kabisa mkuu. Wazee wanavyolea wajukuu ni tofauti kabisa na watoto. Story mbovu anazopiga na mjukuu, hata wewe hawaai kupiga nae kwa hiyo ukimgusa rafiki yake lazma awake
 
unasema tu tena wewe ndio utaomba aletwe umlee
Hapana sitafanya hivyo. Najua umuhimu wa mtoto kulelewa na mama yake na baba yake na sio bibi. Hapa tu nishawachoka hawa watoto wangu natamani waanza kujitrgemea waondoke hapa😅
 
Sasa binti wako akizaa bila ndoa na hana kazi ya kueleweka na akaamua kukuletea mjuu ukaenae kwa muda ili yeye ajipange utakataa kuishi nae?
Ndio sitakubali. Awajibike kwa makosa yake. Akajipange akiwa na mtoto wake. Binafsi nilipata mtoto wangu wa kwanza nikiwa naingia chuo mwaka wa pili, sikumpeleka kwa mama yangu.

Kama anataka mtoto aishi kwangu basi na yeye awepo hapo, kuniachia yeye aondoke hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…