Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Heri ni mpeleke mtoto kwa bibi yake siyo alelelwe na house girl never!!

Mimi siwezi mpeleka kama wao hawataki lakini kama wanahitaji naweza. Sitampeleka mtoto kwa sababu nilizotaja hapo juu vinginevyo saaa hivi angekuwa huko. Hapa nazungumzia mtoto anayejitabua tyr sio wa miaka3-4 hapana.

Hadi sasa wazazi wetu wanaishi na watoto wa watu baki tu hata shule hawasomi kwa sababu ya udebweto kuchunga kula na kucheza ndo furaha ya wazazi wetu ilibaki

Mzee wangu mimi alikuwa natabia ya kufuata kabisa watoto wa wadogo zake na tumeishi nao na wengine walisoma nasisi nk

Hadi leo huo mfumo anao sisi huwa tunakataa wenyewe tu maana mazingira haya support watoto kuwa kule...

Sioni kosa kabisa kama mimi wazee wangu wameniliwa vzr na wanahitaji kumlea mtoto ni sawa tu
Kuna level wazee ukiwapelekea mtoto ni sawa. Imagine wengine wanaacha mtoto wa mwaka mmoja pasipo sababu za msingi na wengine wanaongeza hata wawili. Yani yeye anazaa Ila halei

Halafu pia mkuu, mzazi alivyokulea wewe na atakavyolea mjukuu ni vitu viwili tofauti maana kwanza nguvu za kukimbizana wanakuwa hawana na pia huwa wanawaona wajukuu kama marafiki zao na wanawapenda haswa. Sema concern yako ni nzuri pia, kuliko kupeleka kitoto kidogo boarding bora aende kwa bibi yake
 
Kuna dogo ana itwa juma huwa ana muita baba ake au mama ake (baba juma, mama juma ) becouse toka yupo mdogo ame lelewa na bibi so haelewi
 
Nakupinga vikali sana mkuu.
Kwahiyo kwako ni bora mtoto alelelqe na mdada wa kazi kuliko mama yako mzazi?

Unapokubali kumpeleka mtoto wa kwa bibi yake kwanza ushajiridhisha kabisa na tabia ya mama yako ......

Pia wazazi wetu mara nyingi wao ndo huomba wakae na wajukuu wao.

Sioni kosa kabisa kama unapeleka mahitaji stahiki wazazi wangu wangekuwa karibu na huduma za kijamii kama shule,hospital nk mtoto wangu mimi ningewapa kabisa aishi huko
Yaani umpelekee mama ako mjukuu, amtawaze, ampikie, amuogeshe na amfulie kama ulivofanyiwa wewe?

Huyo mama ana dhambi gani kwa hiyo adhabu kwa mfano?
 
Yaani umpelekee mama ako mjukuu, amtawaze, ampikie, amuogeshe na amfulie kama ulivofanyiwa wewe?

Huyo mama ana dhambi gani kwa hiyo adhabu kwa mfano?
Kama atahitaji mwenyew Wala Sioni kosa kabisaa Leo au kesho mjukuu wa miaka 2-3 siwezi peleka labda wa miaka4-5 yaani anajitambua

Mama mkwe nimekataa tu alikuwa ameomba yeye shule na huduma zote zinapatikana kabisa.

Kama unaona ni dhambi ni wewe kwetu wazee wetu ni furaha mnoo kuwa na wajukuu wao Hadi Sasa wanao wa watu Baki Kwa kutaka wao wenyewe dhambi ni Kwa mama Yako wewe sio Mimi, Mimi ni baraka
 
Kuna level wazee ukiwapelekea mtoto ni sawa. Imagine wengine wanaacha mtoto wa mwaka mmoja pasipo sababu za msingi na wengine wanaongeza hata wawili. Yani yeye anazaa Ila halei

Halafu pia mkuu, mzazi alivyokulea wewe na atakavyolea mjukuu ni vitu viwili tofauti maana kwanza nguvu za kukimbizana wanakuwa hawana na pia huwa wanawaona wajukuu kama marafiki zao na wanawapenda haswa. Sema concern yako ni nzuri pia, kuliko kupeleka kitoto kidogo boarding bora aende kwa bibi yake
Mimi Sioni kosa kabisa Wala ubaya bibi kulea mjukuu wake. Mimi mama almost ana miaka 57 Hivi ila Bado yupo imara kabisa nguvu za kutosha angekuwa ni mzee hakika siwezi.

Nawajua wazazi wangu njisi wanavyokaa hata na watu Baki ndio maana na support hili.

Cha kuogopa ni hicho ulichosema kuwa wajukuu Huwa wanawaona kama rafiki zao hii ni kweli litalelewa bomu hata Mimi ninapo washulikia Watoto akiwepo bibi Yao au Babu Yao kesi inanunuliwa.

Kuna dogo Sasa yeye ukimpiga tu analia huku akisema naenda kukusema Kwa babu
 
Kama atahitaji mwenyew Wala Sioni kosa kabisaa Leo au kesho mjukuu wa miaka 2-3 siwezi peleka labda wa miaka4-5 yaani anajitambua

Mama mkwe nimekataa tu alikuwa ameomba yeye shule na huduma zote zinapatikana kabisa.

Kama unaona ni dhambi ni wewe kwetu wazee wetu ni furaha mnoo kuwa na wajukuu wao Hadi Sasa wanao wa watu Baki Kwa kutaka wao wenyewe dhambi ni Kwa mama Yako wewe sio Mimi, Mimi ni baraka
Zanzibar watoto % 99 wana lelewa upande wa Mama na vijana wengi wao awajui na awajawahi kulelewa na Wazazi wawili yani kule Malezi yao kama ya mifugo Kuku au ndege jinsi wanavyolea watoto ndiyo Wazanzibar ndivyo waleavyo watoto.
 
Mimi mama yangu na baba yangu kilio chao ni tuwape wajukuu nyumbani pamepooza sana. Tena wanang’ang’ania sana ni vile mimi nakaza.

Kuna wazazi wengine ndio huwa wanang’angania wajukuu na ukiwakatalia wanachukia sana.
Kwani nanyie wazazi wenu walikua wanawapeleka kwa Babu zenu mkalelewe?
 
Ntalea wajukuu zangu under circumstance ambayo wazazi wamefariki.... nje ya hapo sifanyi huo upuuzi, tutakutana likizo kwa likizo kama mikoa tofauti na weekends kama tupo mkoa mmoja.
Nje ya hapo kila mtoto atelelewa na wazazi wake kama nnavyowalea wao saa hii.
 
Nakupinga vikali sana mkuu.
Kwahiyo kwako ni bora mtoto alelelqe na mdada wa kazi kuliko mama yako mzazi?

Unapokubali kumpeleka mtoto wa kwa bibi yake kwanza ushajiridhisha kabisa na tabia ya mama yako ......

Pia wazazi wetu mara nyingi wao ndo huomba wakae na wajukuu wao.

Sioni kosa kabisa kama unapeleka mahitaji stahiki wazazi wangu wangekuwa karibu na huduma za kijamii kama shule,hospital nk mtoto wangu mimi ningewapa kabisa aishi huko
Mtoto akilelewa na Bibi wanakua wajinga na kufanyakazi awawezi yani ata kufua nguo zake mwenyewe ni shida.
 
Ntalea wajukuu zangu under circumstance ambayo wazazi wamefariki.... nje ya hapo sifanyi huo upuuzi, tutakutana likizo kwa likizo kama mikoa tofauti na weekends kama tupo mkoa mmoja.
Nje ya hapo kila mtoto atelelewa na wazazi wake kama nnavyowalea wao saa hii.
Umenichekesha sana
 
Hao watoto baba zao mara nyingi unakuta mama mtoto kazaa na mume wa mtu au mtoto amepatikana katika harakati tu za kufanya starehe sometimes hata baba halali wa mtoto anakua hajulikani.

Muda mwingine unakita baba mtoto ni kijana tu mbangaizaji wa mjini kashinda hela ya kubet katika kula bata na demu mimba hii hapa. Kesho anaamka hela imeisha.

Uwanja wa mahusiano kwa hiki kizazi cha watoto wa 2000 umevulugika ndugu yangu. Vijana wa kiume hawana ajira, mabinti wamefanya udangaji kuwa career ya kuwaweka mjini, wanawake wanaojimudu kiuchumi wanepandikizwa itikadi za ufeminia na 50/50. Kwenye chaos kama hizo akipatikana mtoto ndipo hapo anapekekwa mkoani kwa bibi ake.
Changamoto mkuu
 
Naam, unatakiwa ujipange Sana lasivyo watoto watateseka. Mimi nilijipanga muda mrefu kwamba watoto nitaishi nao Mimi mwenyewe sikukurupuka. Nilijipanga haswaa na ndio maana nimeweza ila ukilala ukaamka na kuamua kuishi na watoto mwenyewe changamoto ni kubwa
Kweli mkuu lazima uwe na uthubutu
 
Kwani nanyie wazazi wenu walikua wanawapeleka kwa Babu zenu mkalelewe?
Wapo walioishi na bibi ila sio kwa tafsiri ya kulelewa bali ni kwamba bibi alihitaji wajukuu wa kukaa nao. Alikuwa anaogopa kuishi mwenyewe maana watoto wake wote wameoa na kuolewa. Kwahiyo kila mtoto wake walitoa mtoto mmoja kwa ajili ya kwenda kumpa joto bibi.
 
Back
Top Bottom