Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Mimi mama yangu na baba yangu kilio chao ni tuwape wajukuu nyumbani pamepooza sana. Tena wanang’ang’ania sana ni vile mimi nakaza.

Kuna wazazi wengine ndio huwa wanang’angania wajukuu na ukiwakatalia wanachukia sana.
 
Ni kweli ila wewe lazim uwaambie waelewe wajukuu watakuja likizo tu
 
hili ni zao la kukataa ndoa, hili ni zao la ukosefu wa kipato kwa wazazi hivyo kuwakimbiza watoto kwa bibi ili wapate nafasi ya kutafuta kipato

hapa mwenyewe nataka nkampokonye mtu mtoto wangu aende kwa bibi(mama yangu)
 
Yaani huwa inanifikirisha sana, kizazi Cha sasa kimejaa ubinafsi mnoo na hawana huruma kwa watoto wao. Ndiyo maana kuna wakati unakuta mtu anapgiwa simu halloo fulani Mama/Baba yko kalazwa anaitika kawaida tu tena hana majonzi kiviilee na anaweza kaa hata zaidi ya siku 2 ndiyo akaenda kumjulia hali huyo mzazi! kumbe yote hayo yalianzia utotoni hakuna bond kati yao..........na wakati kikawaida unaweza siku ukaamka ukahisi kama Kuna kitu hakiko sawa baada ya muda unapewa taarifa mzazi wko anaumwa unashtuka na kukumbka ndiyo maana leo moyo wngu ulkuwa mzito sana yote hayo yanatengenezwa hayaibuki tu kama tumbo la kuhara! Aisee tulee watoto wetu tuache kuwanyima haki kwa kuwatupa kwa ndugu au shule za boarding mapema 🥲
 
Kwanini usikae nae wewe mwenyewe umpeleke kwa bibi 😂
 
Kabisa bond hamna mtu sikuizi anafiwa na mzazi ana chagua nguo hii nitavaa siku ya kwanza hii siku ya kuzika wakat narudi navaa hii hawajali kabisa
 
Kuna mjeda aliwapa mikwara wanae
Sitaki kulea toto la mtu
Mim na mama yenu hatukutaka usumbufu ndio maana tumewazaa wawili
Sasa ninyi rukeni huko mkitegemea bibi atalea sihitaji kuzeeshewa mke utaondoka na mwanao kila mtu abebe mzigo wake
 
Back
Top Bottom