Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Hell

Huwa nachukizwa sana na tabia hii baadhi ya wazazi kupeleka watoto wao kwa wazazi wao yaani mama zao hii sio sawa kabisa wewe mama yako kakulea yeye mwenyewe hakukupeleka kwa mtu ili amsaidie kulea iweje wewe ushindwe kumlea mwanao?

Hii tabia mtu anajifanya yupo bise na kazi na mwanaume anakubali mtoto akalelewe na bibi yake huyo mtoto mtamjuaje mapungufu yake utamjuaje tabia zake? Mnajua madhara yake?

Mwisho wasiku mtoto ana mpenda sana bibi yake kuliko mama yake kwasababu ya kukosa attachment ya wazazi wake pindi wakiwa wadogo mtoto mlee mwenyewe ataka ni mtu wa safari mtoto anaelewa ukirudi anajua mama karudi au baba karudi na kaniletea zawadi mama yangu au baba yangu ananipenda

Lakini unatuma hela kwa mama yako hiyo hela ya sikukuu mtanunua chochote kitu kinachotea mtoto anakuwa anauliza ina maana mama yangu hanipendi kiasi hiki mpaka kunileta kwa bibi yangu means bibi ndio ananipenda sana maana bibi nikimuomba hela ninunue pipi ananipa mapenzi yote anapeleka kwa bibi na sio kwako

Pia mtoto akikua anaweza kuwa na tabia za ovyo unaaza kutukana watu huyu tabia katoa kwa baba yake au mama yake kumbe ni wewe ulishindwa kumshape mtoto awe kama vile mnavyotaka

Yangu ni hayo tu kwa leo
Uko sahihi mkuu,Mimi nilipitia hayo,nilimpenda Bibi yangu kuliko mama yangu, maana Bibi alinijali sana!
 
Bibi wanakutana na mengi sana
Sio watoto wa ndoa tu, kuna wengine wamewaficha huko na kujifanya hawajawahi kuzaa.
Na hutakuja kugundua kama mlikutana ukubwani na hamjuani mnakotoka

Mnaishi miaka hata ubini wa babu yake huujui
Kweli kuwapa mzigo wazee ni dharau sana kwao
Halafu unakuta hata matumizi ya maana hawatumi na kujifanya wapo busy na maisha.

Maisha ya kimasikini sana hayo
 
Wanendekeza ujinga sana mimi hili swala sikubalian nalo
 
Back
Top Bottom