Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Hapana mama angu mkali sana tangu nipo mdogo nashuhudia dada angu akigombezwa na mama alibemenda mtoto mama akamwambia chukua mtoto wako maana wote hamna akili wewe na mumeo kipindi iko mm mdogo kwetu mm ndio wa mwisho alimpiga mpaka na stik anasema mm sio bibi kizee bibi kijana kila mtu abebe mzigo wake
🤣🤣🤣🤣🤣 navuta picha siku umesusiwa katoto sijui utakapeleka wapi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 navuta picha siku umesusiwa katoto sijui utakapeleka wapi
Nitakaa naye tu nitatafuta dada wa kazi duh ila kumpeleka kwa mama ngumu kwanza likataza kuzaa watoto ovyo ovyo siku hiyo alikuwa mkali tukashangaa tu ana foka yaani gafla tu hakuna alie kosea hole wake mtu azae ovyo ovyo yaan ww kama mwanau ole wako uzae na wanawake tofauti sitokubali huo upumbavu baba yenu mpaka amakufa haja achaa mtoto nje wote mpo hapa na ninyi wanawake jifanyeni hamnazo mm sijazaa na wanaume tofaut ole wenu huyo kaenda kulala tukabaki tuna tazaman tu mmoja mmoja akaenda kulala tulienda likizo kusalimia imagen
 
🤣🤣Ukisikia mama mwenye msimamo ndio huyo watoto wa nje kuna namna wanakuja kuathirika kisaikolojia
 
🤣🤣Ukisikia mama mwenye msimamo ndio huyo watoto wa nje kuna namna wanakuja kuathirika kisaikolojia
Ukikaa nae mnacheka sana huwezi amini kwamba anafokaga anapiga haangalii umri na ukiangalia watoto wote akikasirika hakuna wakumtuliza kila mtu anaenda zake

Dada angu aliletaga mchumba af ni kilema ameleta barua mchumba akaenda chooni si kajisaidia vibaya mama sijui alienda kufanya nini ndio alipotoka na hasira uko aka mwita mzee akampa habri baada ya mchumba kuondoka dada alinangwa sana na wakagoma hatumtaki kumuona hapa uzuri sister alikuwa na bahat ndio
Akaolewa na mwingine na huyo mwanaume alihalakisha chap alipewa habari nyumba ile hawachelewi kukukataa kabisa na mahali ukarudishiwa
 
Achana na mambo ya watu. Usiwapangie, kila mtu afanye yaujazao moyo wake.

Kuna wengine pia wanachukizwa na tabia ya wazazi kulea watoto wao badala ya kuwapeleka kwa babu na bibi.

Hizi tabia za kuingilia na kuchukizwa mambo bianfsi ya watu ndio chanzo cha mifarakano na magomvi katika jamii zetu.

Fuata yanayokuhusu

Ikiwa we
Hell

Huwa nachukizwa sana na tabia hii baadhi ya wazazi kupeleka watoto wao kwa wazazi wao yaani mama zao hii sio sawa kabisa wewe mama yako kakulea yeye mwenyewe hakukupeleka kwa mtu ili amsaidie kulea iweje wewe ushindwe kumlea mwanao?

Hii tabia mtu anajifanya yupo bise na kazi na mwanaume anakubali mtoto akalelewe na bibi yake huyo mtoto mtamjuaje mapungufu yake utamjuaje tabia zake? Mnajua madhara yake?

Mwisho wasiku mtoto ana mpenda sana bibi yake kuliko mama yake kwasababu ya kukosa attachment ya wazazi wake pindi wakiwa wadogo mtoto mlee mwenyewe ataka ni mtu wa safari mtoto anaelewa ukirudi anajua mama karudi au baba karudi na kaniletea zawadi mama yangu au baba yangu ananipenda

Lakini unatuma hela kwa mama yako hiyo hela ya sikukuu mtanunua chochote kitu kinachotea mtoto anakuwa anauliza ina maana mama yangu hanipendi kiasi hiki mpaka kunileta kwa bibi yangu means bibi ndio ananipenda sana maana bibi nikimuomba hela ninunue pipi ananipa mapenzi yote anapeleka kwa bibi na sio kwako

Pia mtoto akikua anaweza kuwa na tabia za ovyo unaaza kutukana watu huyu tabia katoa kwa baba yake au mama yake kumbe ni wewe ulishindwa kumshape mtoto awe kama vile mnavyotaka

Yangu ni hayo tu kwa leo
 
Tunausingizia umasikini mkuu, minaona kama mtu hawezi ama hana uwezo wa kumlea mtoto/watoto wake basi bora kuto kuzaa kabisa hadi pale mzazi atakapo kua tayari na amejiandaa na malezi.
Kabisa
 
Back
Top Bottom