Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Wengine kazi yao kuzaa na kusukumia Kwa ndugu zao wakawalele ili wao wapo hai, kuwasumbua tu wake wa ndugu zao na lawama juu kuwa hawataki kukaa ndugu, mtoto mdogo mlee mwenyewe usisumbue wengine
 
Na baba yao yupo wapi?

Hujasikia mkuu wa mkoa gani ule ,anamsii baba wa mtoto arudi mtoto analelewa kituoni mama alifariki alipojifungua na baba wa mtoto akatokomea, si kina mama tu hata kina baba wanakimbia majukumu
Kweli kabisa
 
Ni mbaya sana hiyo mkuu, mtoto anakua hana ile attachment ya kihisia na mama yake.
Kuna uzi Robert Heriel Mtibeli alielezea kua baba/mama sio kua mzazi au sperm donor tu bali ni malezi, usitegemee mtoto atakupenda automatically ati kisa wewe ni baba/mama na kwenye malezi hukuwepo.

Wengi huishi kupretend kukupenda ili jamii isimshangae ila hisia juu ya mzazi anakua hana.
 
Iyo ni consequency ya ongezeko la udangaji kwenye jamii yetu. Matokeo ya kudanga ni unplanned pregnancy ndio iyo sasa inapelekea mtoto kupelekwa mkoani kulelewa na bibi yake ili mama apate uhuru wa kuendelea kukitombesha mjini
 
Wengine kazi yao kuzaa na kusukumia Kwa ndugu zao wakawalele ili wao wapo hai, kuwasumbua tu wake wa ndugu zao na lawama juu kuwa hawataki kukaa ndugu, mtoto mdogo mlee mwenyewe usisumbue wengine
Hii mbaya na ndio mwanzo wa kugombana

Cha ndugu kione kama nyaa ukikona kiteme mate
 
Kwanini usikae nae wewe mwenyewe umpeleke kwa bibi 😂
mie ni mmoja wa kataa ndoa, naishi mwenyewe mtoto atahudumiwa vp mama mtoto n pasua kichwa siwez ishi nae

wacha aende kwa bibi yake tu (bibi yake sio wale wa wajukuu kudeka )
 
Ni mbaya sana hiyo mkuu, mtoto anakua hana ile attachment ya kihisia na mama yake.
Kuna uzi Robert Heriel Mtibeli alielezea kua baba/mama sio kua mzazi au sperm donor tu bali ni malezi, usitegemee mtoto atakupenda automatically ati kisa wewe ni baba/mama na kwenye malezi hukuwepo.

Wengi huishi kupretend kukupenda ili jamii isimshangae ila hisia juu ya mzazi anakua hana.
Na ndio ina watokea wazazi wengi hasa kwa upande wetu wa wanaume kuna shida kubwa sana
 
Ni mbaya sana hiyo mkuu, mtoto anakua hana ile attachment ya kihisia na mama yake.
Kuna uzi Robert Heriel Mtibeli alielezea kua baba/mama sio kua mzazi au sperm donor tu bali ni malezi, usitegemee mtoto atakupenda automatically ati kisa wewe ni baba/mama na kwenye malezi hukuwepo.

Wengi huishi kupretend kukupenda ili jamii isimshangae ila hisia juu ya mzazi anakua hana.
Na ndio ina watokea wazazi wengi hasa kwa upande wetu wa wanaume kuna shida kubwa sana
 
Iyo ni consequency ya ongezeko la udangaji kwenye jamii yetu. Matokeo ya kudanga ni unplanned pregnancy ndio iyo sasa inapelekea mtoto kupelekwa mkoani kulelewa na bibi yake ili mama apate uhuru wa kuendelea kukitombesha mjini
Navwewe baba mtoto unakubari iko kitu
 
mie ni mmoja wa kataa ndoa, naishi mwenyewe mtoto atahudumiwa vp mama mtoto n pasua kichwa siwez ishi nae

wacha aende kwa bibi yake tu (bibi yake sio wale wa wajukuu kudeka )
Mbona mbwangali analea watoto wake mwenyewe na ni mwanaume na hana ndoa?
 
Back
Top Bottom