realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Kipato duniKama yapi?
Kipato duniKama yapi?
Sijawahi hata kuwaza kumpelekea. Wanaenda kusalimia wanaondoka.. hata mimi sitakubali kulea mjukuu labda kama kuna sababu muhimu sana itakayonilazimuPambana nao tu
Ulikuwa unazaa wa nini? Maonyesho?Kipato duni
Labda usiwe na watoto wakike , ukiwa nao nilazima utalea mjukuu🤣Sijawahi hata kuwaza kumpelekea. Wanaenda kusalimia wanaondoka.. hata mimi sitakubali kulea mjukuu labda kama kuna sababu muhimu sana itakayonilazimu
Sasa hawa wengine hawapendi kabisa kuleaSijawahi hata kuwaza kumpelekea. Wanaenda kusalimia wanaondoka.. hata mimi sitakubali kulea mjukuu labda kama kuna sababu muhimu sana itakayonilazimu
Hii kitu inabidi itokomezweAsilimia kubwa niwatoto wa nje ya ndoa ndio wanapelekwa huko. Yan mwanamke ameamua kuwa singo mother afu anapeleka mtoto kwa bibi yake. Unakuta mwanamke hana kipato chochote kinachoeleweka anamchekea msela anadunga mimba anapita hivi🤣 wanawake wengi wanazaa hovyo na watu wasioeleweka mwisho waanachiwa mzigo ambao unakuwa mzigo pia kwa wazazi wao
Sitalea mjukuu kwa kuishi nae wakati wazazi wao wapo. Haitatokea. Maana mimi nimelea watoto wangu mwenyewe na nimeshajichokea sihitaji mzigo wa mtuLabda usiwe na watoto wakike , ukiwa nao nilazima utalea mjukuu🤣
Kama hawapendi kulea wasizaeSasa hawa wengine hawapendi kabisa kulea
I think sio sawa kuweka picha za watoto mitandaoni.View attachment 3294892
Hapo mama yao yuko Sinza anauza nyapu, watoto wako Kazuramimba kwa bibi yao.
Mama yangu hajawalea watoto wangu nimewalea mwenyewe.Labda usiwe na watoto wakike , ukiwa nao nilazima utalea mjukuu🤣
Sikuiz watoto fashion ndio maana wana zaa ovyoKama hawapendi kulea wasizae
MImi kama bibi wataisoma namba. Silei mjukuu.
Hivi unawajua watoto wa sikuizi?Makosa ni hao babu na bibi ikiwa mtoto wako yupo hai jaribu kuhakikisha anakuwa responsible na malezi ya mtoto wake
Wanajifanya kukutumia 50k ulipie majiMImi kama bibi wataisoma namba. Silei mjukuu.
Changamoto hii inawapa waliooa:-Hell
Huwa nachukizwa sana na tabia hii baadhi ya wazazi kupeleka watoto wao kwa wazazi wao yaani mama zao hii sio sawa kabisa wewe mama yako kakulea yeye mwenyewe hakukupeleka kwa mtu ili amsaidie kulea iweje wewe ushindwe kumlea mwanao?
Hii tabia mtu anajifanya yupo bise na kazi na mwanaume anakubali mtoto akalelewe na bibi yake huyo mtoto mtamjuaje mapungufu yake utamjuaje tabia zake? Mnajua madhara yake?
Mwisho wasiku mtoto ana mpenda sana bibi yake kuliko mama yake kwasababu ya kukosa attachment ya wazazi wake pindi wakiwa wadogo mtoto mlee mwenyewe ataka ni mtu wa safari mtoto anaelewa ukirudi anajua mama karudi au baba karudi na kaniletea zawadi mama yangu au baba yangu ananipenda
Lakini unatuma hela kwa mama yako hiyo hela ya sikukuu mtanunua chochote kitu kinachotea mtoto anakuwa anauliza ina maana mama yangu hanipendi kiasi hiki mpaka kunileta kwa bibi yangu means bibi ndio ananipenda sana maana bibi nikimuomba hela ninunue pipi ananipa mapenzi yote anapeleka kwa bibi na sio kwako
Pia mtoto akikua anaweza kuwa na tabia za ovyo unaaza kutukana watu huyu tabia katoa kwa baba yake au mama yake kumbe ni wewe ulishindwa kumshape mtoto awe kama vile mnavyotaka
Yangu ni hayo tu kwa leo
Na baba yao yupo wapi?View attachment 3294892
Hapo mama yao yuko Sinza anauza nyapu, watoto wako Kazuramimba kwa bibi yao.
Yakikupata ndo utajuaUlikuwa unazaa wa nini? Maonyesho?