Nachukizwa na tabia ya wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu utupu

Nachukizwa na tabia ya wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu utupu

Point ya mwamba ni hivi,punde waonapo wanaume huanza kuzivutavuta,kubadili mwenda n.k
Yaani atahangaika mpaka utamuonea huruma binafsi naishiaga kuchekea tumboni.
Anyway bhakamu tafuta wa kwako mpangie asivae nusu uchi kila mtu aishi vile anaona inafaa.
 
Ni tabia mojawapo ya mwanamke malaya.

Wengi wakiona hawahitaji kuuliza mara mbili tabia ya mwanamke wa hivyo.
 
Hili janga la kuvaa nguo ambazo ni za “nusu uchi” huwa linawakera wanaume wasio na hela tu kwani wanakuwa wanayaona maua ambayo hawawezi kuyachuma.
Ebu kalale una usingizi wewe😅
 
Tabu juu ya tabu wanatutaftia kesi alafu umewahi Kutana na bidada kavaa dera kalishikilia kalinyanyua juu alafu anatembea kama kiuno kimefungwa motor Yani kabonyea alafu nyuma kabinuka alafu mbaya zaidi mkiwa mnaenda kupishana ananyanyua dera lake unaona paja mpaka juu ukitoka hapo unasahau ulikuwa unaelekea wapi, mnafanyaga makusudi sana wanawake hii tabia mbaya
 
Hili janga la kuvaa nguo ambazo ni za “nusu uchi” huwa linawakera wanaume wasio na hela tu kwani wanakuwa wanayaona maua ambayo hawawezi kuyachuma.
Linawakera wanaume wanaojiheshimu na wanaozingatia maadili mema!! Sasa msichana nusu uchi utapita naye wapi? Hao wamejiweka sokoni, wameuza utu wao kwa pesa!! Na wanaowachukua kamwe hawawezi kuwaheshimu!! Wanawatumia kama toilet paper tu!! Baada ya kutimiza kazi yake toilet paper huwezi kukaa nayo, ni ya kutupa!! Kwani ukivaa kwa staha unapungukiwa na nini? Badala yake utapata watu wenye heshima zao watakaoheshimu utu wako pia!!
 
Unakuta mdada mzuri lakini heshima na staha zilishapeperuka zamani. Anavaa jeans yenye matundu mapajani!! mtaa mzima tangu asubuhi hadi jioni anatembea uchi!! watoto wanamwona, watu wazima wanamwona, nani atamheshimu? Halafu naye anategemea siku moja aolewe!!
 
Hili janga la kuvaa nguo ambazo ni za “nusu uchi” huwa linawakera wanaume wasio na hela tu kwani wanakuwa wanayaona maua ambayo hawawezi kuyachuma.
Yaani wewe unaona pesa za wanaume ni za kununulia uchi tu!! kumbe ndio huwa mnadanganyana hivyo!! Nikidate na mdada namwambia kabisa avae kwa staha!! Hii staili ya viruka njia huko huko!
 
Mimi ndizo nazipenda, wanaovaa alafu kama ni wIzuri nawapenda sana.
 
Mimi ndizo nazipenda, wanaovaa alafu kama ni wIzuri nawapenda sana.
Mzuri ni mzuri tu!! Kuvaa nusu uchu hakumwongezei uzuri!! ni dalili ya kutojiamini!! Halafu wanaume wasiokuwa na nguvu za kiume hadi waone uchi ndo wapate hisia!!
 
Kuvaa
Mtoa mada kaandika kwamba kuvaa uchi ndio kuvaa ovyo?

Kuvaa hovyo ni kuvaa bila mpangilio sahihi wa mavazi. Kama wewe hapo ulivyotupia
hovyo ni kutokutimiza lengo sahihi na la msingi la mavazi. Lengo la msingi la mavazi ni kumsitiri mvaaji. Kama vazi likishindwa kutimiza lengo hili la msingi ni kwamba mvaaji amee hovyo!! Hajastaarabika!! ameathirika na mmong'onyoko wa maadili!!
 
Mtoa mada kaandika kwamba kuvaa uchi ndio kuvaa ovyo?

Kuvaa hovyo ni kuvaa bila mpangilio sahihi wa mavazi. Kama wewe hapo ulivyotupia
Nahisi wewe utakua ni huyu
a28198fa51a6436e92361145bb4dac35.jpg
 
Back
Top Bottom