Nachukizwa na tabia ya watu wa Bara

Mtume alioa mtoto wa miaka 9 haujamsema na pia alioa mwanamke aliyemzidi umri.
Tuacheni watu wa kanda ya ziwa. Mtume mwenyewe alikuwa hajui kusoma na kuandika. Tuacheni
😂😂😂😂Sio kanda ya ziwa tu !! Alifundishwa kusoma
 
Mkuu,

Umeandika mengi sana lakini huna data.

Kwa mfano.

Kitakwimu Pemba watu wanazaliana sana kuliko kanda ya ziwa.

Siku nyingine ukiwa unawapaka watu matope, jaribu kuweka takwimu japo kidogo.


 
Unamaanisha watu wa bara wote wana tabia hizo?Umetembea bara yote kitongoji/mtaa kwa mtaa ukaona wapo hivyo?
NB:Umeanzisha nyuzi nyingi za kujilalamisha kwa muda mfupi.Huna shukrani hata walivyokupokea tu kutoka huko kijijini kwenu?Adabu ishike mkondo wake kijana.
 
Ety na huyu nae ni mwanaume
 
Kapimwe akili
 
Sisi Pwani shule zetu zinafanya vizuri kitaifa kwenye matokeo. Sisi Pwani tunaweza kula kakipande ka nazi, karanga mbichi tukalala. Hatuna makuu. Nyie wabara hamuwezi kulala kwa vitu hivyo. Na huku Pwani ni wajanja tumeanza mambo ya Upinde kabla ya ninyi wa bara kuja kuanza jifunza. Nenda Tanga, Nenda Zenjibar.
 
Wachambe dada, wachambe.... Leo mpaka wakukome...
 

1. Pwani ipi unayoiongelea?

2. Bara ni kubwa si tu kanda ya ziwa.

3. Pwani mfano zanzibar na Tanga ndiyo kunaongoza kwa wasomi wachache mno wengi wanaishia kidato cha nne wanaofaulu kwenda elimu za juu ni wachache mno mfano mdogo tu angalia matokeo ya kidato cha nne miaka yote tu compare kuanzia elimu ya sekondari mpaka vyuo utagundua BARA WAPO JUU.

N.b
Jifunze kutokujumuisha mambo pendelea kuwa specific kwa kila utakachokiongea au kuandika.

Kingine UACHE CHUKI BINAFSI KWA WATU WA BARA .
 
Tokea mmeanza kuwa na elimu mmeisaidia nini Tanzania? Zaidi ya kula rushwa tu na ufisadi?
 
Vipaji? ukiacha taarab na kula urojo nitajie vipaji vingine angalau vitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…