Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unafanana na avatar yako so sipigishani kelele na mvuta bangiVipaji? ukiacha taarab na kula urojo nitajie vipaji vingine angalau vitatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanana na avatar yako so sipigishani kelele na mvuta bangiVipaji? ukiacha taarab na kula urojo nitajie vipaji vingine angalau vitatu.
Jibu swali hiliUnafanana na avatar yako so sipigishani kelele na mvuta bangi
Vipaji vyote unataka Kipi then utaje na kwenu nyie wavuta bhangi hata mziki hamjui makundi ya ovyo..Jibu swali hili
Ukiacha kuimba taarabu na kula urojo nitajie vipaji vingine vitatu tu vya huko pwani.
😂😂 Taarabu hata hapo southafrica tu hawaijui ila MONDI hadi U.S amefika sijajua nikutajie na MBWANA SAMATTA kwenye angle za mpira .Vipaji vyote unataka Kipi then utaje na kwenu nyie wavuta bhangi hata mziki hamjui makundi ya ovyo..
Taja kwenu tunafananishe ni wazee wa bhangi
Mbwana samata ni mtu wa wapi?,🤣🤣🤣😂😂 Taarabu hata hapo southafrica tu hawaijui ila MONDI hadi U.S amefika sijajua nikutajie na MBWANA SAMATTA kwenye angle za mpira .
Mbaya zaidi sisi si wavivu daily tunawasaidia kuwaolea hao dada zenu mnaoshindwa kuwafikisha kilimanjaro kwa sababu ya magonjwa kama kisukari, presha, unene uliopitiliza na lishe isiyo bora na wanatupenda kweli kweli.
Watu mnajua kula tu kazi mtafanya saa ngapi?😂😂 hamfugi wala kulima mnasubiri mamwinyi wa bara tuwaletee vyakula huko.
N.b
Mkizingua tunasitisha kuleta mazao yetu na wanyama muone kama hamjafa kwa njaa 😂😂😂
Jibu swali hili
Ukiacha kuimba taarabu na kula urojo nitajie vipaji vingine vitatu tu vya huko pwani.