Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

We ndo usiye jielewa matokeo ya akina mwanaasha na wengine ilikuwa ni 2011 na huo ndio ukawa mwisho wa kutoa majia kuanzia mayokeo ya 2012 na 2013 yote ni namba lakini hiyo aliyo sema juu sio sababu huo mfumo wa namba bila majina ulikuwepo hata kabla ya hao akina mwanaasha cjui nan mnajuana wenyewe ndio tuka refer mwaka 2006 walitumia abbreviation tu na mwaka 2009 hivyo hvyo walitoa namba tu bila majina ktk matokeo ya kidato cha sita. usikurupuke tu soma vizuri maana huyo jamaa kakubaliana na mm kuwa mfumo huo ulikuwapo mwanzoni pia ila haukuwa rasmi miaka mingine walitumia wa majina ila tangu ishu ya mwanaasha itokee sasa wameufanya mfumo wa namba kuwa rasmi.

khaa!! @qn siku nyingine ujifunze aina mpya ya uandishi!

huna vituo vidogo wala vikubwa! mbona hivyo dada? kwa kweli sijayamaliza maelezo yako unless u-edit halafu uni-mention!
 
Hata me kilichonikera ni kwamba dogo kazima simu tangu matokeo yatangazwe yaani hapa sijui dogo kapata ngapi na yuko mbali kidogo. Hii inakera sana

Acha nikupe siri moja!!
Mtu akifaulu atakazana mpaka wote tena as soon as possible!! Ila kama aki-differentiate constant a.k.a akizungusha au akifeli hapo anageuka mbogo...na huyo kumpata humpati hata kwenye simu!!!! Mpaka hapo utakua ushajua kwanini amekaa kimya!!
 
Ujue matokeo yangi ili iweje?
Siku nafanya paper I was alone iweje wewe uyashikie kibwebwe?
Ni matokea yangu na sio matokeo yet
Na maana mtu anapewa cheti pekee na sio cheti cha wote

Kwani alikusomesha nani? Au ulijisomesha peke yako?
 
Acha nikupe siri moja!!
Mtu akifaulu atakazana mpaka wote tena as soon as possible!! Ila kama aki-differentiate constant a.k.a akizungusha au akifeli hapo anageuka mbogo...na huyo kumpata humpati hata kwenye simu!!!! Mpaka hapo utakua ushajua kwanini amekaa kimya!!

Kwa hiyo dogo kafeli sio?
 
basi na ada ungekuwa unajilipia mwenyewe, yaani umetusumbua kukusomesha halafu matokeo uyabinafsishe hii haikubaliki hata kidogo!!

Kazi ipo kwa walezi na wazazi. Hawa vijana hawajui mwenye haki yakupata matokeo kwa first time ni mzazi au mlezi then mtoto husika anafuata. Reffer report za matokeo Primary, O-level na Hata Advance Heading inasomeka.. KWA MZAZI WA......

Sababu kuu hapa ni kwamba katika umri huu mzazi anakua na uchungu zaidi kuliko mtoto.

Ukifika chuo unaachwa ujimwage SARIS mana unatambua chungu na tamu.
 
C ya Kiswahili D English Language E Civics Dogo langu laweza kupata Chuo ngazi ya cheti
 
C ya Kiswahili D English Language E Civics Dogo langu laweza kupata Chuo ngazi ya cheti

Hili suala la vyuo na qualification za Advance bado halijatolewa ufafanuzi. Hebu tusubiri mauzauza mengine.
 
Acha iboya wewe, coursework sio matokea ya semester one au two we boya
Mbili wakati namaliza mimi hapakua na hiyo division five kulikua na 1,2,3,4,na 0 pekee
Chuo wanatoa no za examx tu kwenye tokeo la mtu na sio majina we boya

Tumia kiswahili fasaha wewe.
 
khaa!! @qn siku nyingine ujifunze aina mpya ya uandishi!

huna vituo vidogo wala vikubwa! mbona hivyo dada? kwa kweli sijayamaliza maelezo yako unless u-edit halafu uni-mention!

mpaka ume reply means umeisoma hata kimyakimya hiyo. usoni unakataa moyoni unakubali hahhahha.
 
mpaka ume reply means umeisoma hata kimyakimya hiyo. usoni unakataa moyoni unakubali hahhahha.

sister tuko hapa kuelimishana, sio kunyosheana kidole.

angalau hapa nimeelewa... ile ya kwanza niliisoma lakini kwa shida sana!

hivyo sio nilivyofundishwa kuandika insha...

ahsante kwa usikivu sis.
 
sister tuko hapa kuelimishana, sio kunyosheana kidole.

angalau hapa nimeelewa... ile ya kwanza niliisoma lakini kwa shida sana!

hivyo sio nilivyofundishwa kuandika insha...

ahsante kwa usikivu sis.

muhimu umeelewa hilo la msingi iwe umesoma kwa shida au kwa raha ni juu yako, hata hiyo yako naweza isoma kwashida pia maana uandishi upo kama wa ushairi. ahsante usiku mwema!
 
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini.

NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi wao juu ya matokeo yao halisi.

We bumuda kweli!!!
Aloyekuwa anafanya mtihani alikuwa peke yake harafu

Unataka matokeo yatoke na jina ?siyo haki kama alifanya pekee yake kujua jina itakusaidia nini?

Tena mi nadhani wangepewa watahiniwa harafu wengine wapewe general result.
 
Jifunze kuandika.

Umepata division ngapi? Elimu ni yako ukiwa Darasani, ila matokeo tunayahitaji kwa mustakabali wa Taifa.
 
Back
Top Bottom