Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Nnavojua mia ndugu zetu kina Halima,Juma,Abdul,Khamis na Zaituni waligoma kuwa Necta inawahujumu kwann matokeo yao ndo yanakuwa ya hovyo na shule zao so soln n kuweka namba tu kila mtu ajue jina lake na sio kuanza linganisha wapi na wapi wamevuna nn na nn.n hayo tu mkuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Utakuwa division five wewe si bure isingekuwa muhimu badi hata wale kumi bora wasingetajwa public na kupewa zawadi na wizara.

Form four kitambo Sana,nazan hata wewe wakati huo darasa la kwanza Kama sio kinder garden kabisa
Majina ya nini? Nenden cha versity napo kasemen waweke majina full na sio no
Wewe hako ka tu kako ndo usumbue watu ili majina waandike??? Acha ushamba
 
Sasa kuna wenzio wanaficha walezi wao. Hao ndio wanaonikera

Window seven kuna haja gani ya kubishana na mwanao muongo? Selection za kwenda advanced watatoa necta muulize tena wapi mwanangu? Utamshika tu kwan advanced kuna baria lazima mzazi aipate ndo mwanae aende advanced,akisema private lazima results slips awe nayo ndo aende private si utakua ushapata jibu sasa mkuu
 
Vijana kupata ziro ni matokeo ya shule zetu za st kayumba
Hebu namboe nani kapata zero feza,canosa,marian,st fransis? Few of them to mention koz wanakila nenda mbande secondary school is not a real name of school itacheka no one,2,3, four na zero ndo za kumwaga

Kama hii.....

zerooooooo.PNG
 
Form four kitambo Sana,nazan hata wewe wakati huo darasa la kwanza Kama sio kinder garden kabisa
Majina ya nini? Nenden cha versity napo kasemen waweke majina full na sio no
Wewe hako ka tu kako ndo usumbue watu ili majina waandike??? Acha ushamba

Kwani chuo hawaweki majina hata course work zao huwa nawaandikia both regislation number na majina yao na sio vyote vinatumia ARIS vyuo kama Sua vilikuwa vinabandika kwenye notice board majina.

Nakumaliza form four kitambo sio exemption ya kutopata division five si bure wewe kama sio wewe basi mwanao mbona unapinga sana.
 
Unaona sasa, watoto hawajui hata kazi ya test tube,beaker na microscope, kwan hawajawahi hata kuziona hiz equipment laboratory mkuu
 
Kwani chuo hawaweki majina hata course work zao huwa nawaandikia both regislation number na majina yao na sio vyote vinatumia ARIS vyuo kama Sua vilikuwa vinabandika kwenye notice board majina.

Nakumaliza form four kitambo sio exemption ya kutopata division five si bure wewe kama sio wewe basi mwanao mbona unapinga sana.

Acha iboya wewe, coursework sio matokea ya semester one au two we boya
Mbili wakati namaliza mimi hapakua na hiyo division five kulikua na 1,2,3,4,na 0 pekee
Chuo wanatoa no za examx tu kwenye tokeo la mtu na sio majina we boya
 
Dogo mwanangu ndo yuko darasa la tano subiria rizats zake za four ntakupa omba uzima miaka sita mbele tuwepo
 
Kwani chuo hawaweki majina hata course work zao huwa nawaandikia both regislation number na majina yao na sio vyote vinatumia ARIS vyuo kama Sua vilikuwa vinabandika kwenye notice board majina.

Nakumaliza form four kitambo sio exemption ya kutopata division five si bure wewe kama sio wewe basi mwanao mbona unapinga sana.

Kwanza hakuna kiti kinaitwa ARIS ni SARIS
Nishaanza kupata doubt na elimu yako
Kama sio ya kusimulia na wenzako basi wewe ni kilaza
 
Daah kweli mjomba ume kariri aisee utakuwa unasoma Saut wewe sio bure na umekariri Wenzio UDSM na UDOM hutumia na huita ARIS - Academic Registration Information System hutumia both staff na students kwa mambo mengi km cousre registration na results na graduation confirmation vyuo kama Saut mnaita - Saut Academic Results Information system a.k.a SARIS kuangalia matokeo tu sijui km mnajiregisyer online vyuo kama Tumaini, CBE pia mnaita SARIS tena imeanza miaka ya karibuni. Aliyekuakaririsha amekosea akukaririshe vizuri.
 
Kwan waliosoma au wanaosoma Saut wana nini?
 
Waliosoma Saut na hivyo vingine kama cbe na tumaini wanaita Saris so ukadhani ndo inaitwa Saris pekee not true udsm na udom wanaita Aris so usikariri kuwa ni Saris bali kuna Aris na Saris na wengine wataita kutokana na vyuo vyao.
 
Sasa don't say dat nasoma Saut mkuu au sio let's back to the topic sasa
 
Duuh hapo sijui wametumia vigezo gani..
Inabidi mkuu wa shule akate rufaa

Nimejaribu kucheki tena kwa umakini yale matokeo. Vijana wamepata F sawa nilijua labda kuna mmoja alikua Science na mwingine Arts kumbe la! Hapo utagundua sasa hata hawa wanaingiza hizi data kwenye database nao ni mizigo pia. Na ifike wakati sasa tusikie tamko kutoka serikalini likiwawajibisha wanaohusika na upachikaji wa hizi data. Kwa nini kila mwaka wanaleta mkanganyiko???
 
Form four kitambo Sana,nazan hata wewe wakati huo darasa la kwanza Kama sio kinder garden kabisa
Majina ya nini? Nenden cha versity napo kasemen waweke majina full na sio no
Wewe hako ka tu kako ndo usumbue watu ili majina waandike??? Acha ushamba
kuna wengine hawakufanya mtihani na wengine matokeo yameshikiliwa ila nyumbani wana danganya wana div 4
 
Back
Top Bottom