Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
We ndo usiye jielewa matokeo ya akina mwanaasha na wengine ilikuwa ni 2011 na huo ndio ukawa mwisho wa kutoa majia kuanzia mayokeo ya 2012 na 2013 yote ni namba lakini hiyo aliyo sema juu sio sababu huo mfumo wa namba bila majina ulikuwepo hata kabla ya hao akina mwanaasha cjui nan mnajuana wenyewe ndio tuka refer mwaka 2006 walitumia abbreviation tu na mwaka 2009 hivyo hvyo walitoa namba tu bila majina ktk matokeo ya kidato cha sita. usikurupuke tu soma vizuri maana huyo jamaa kakubaliana na mm kuwa mfumo huo ulikuwapo mwanzoni pia ila haukuwa rasmi miaka mingine walitumia wa majina ila tangu ishu ya mwanaasha itokee sasa wameufanya mfumo wa namba kuwa rasmi.
khaa!! @qn siku nyingine ujifunze aina mpya ya uandishi!
huna vituo vidogo wala vikubwa! mbona hivyo dada? kwa kweli sijayamaliza maelezo yako unless u-edit halafu uni-mention!