Ibra ruge chabenzi
New Member
- Aug 26, 2018
- 4
- 17
Kama hujawahi fanya biashara hiyo na kujua changamoto zake, sikushauri kuchukua mkopo na kuanza hiyo biashara.Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store.
Mimi naona uko sahihi.Inabidi ununue kwa wakulima siyo kwa wachuuzi.Wachuuzi watakuchanganyia mambo meusiWadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15.
Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store.
Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye mshahara.
NAJIONA NIKO SAHIHI,PLEASE KAMA KUNA MKOSOAJI ANISAIDIE
Ataanza vipi sasa na atajifunza lini? Mi naamini kwenye falsafa ya kufeli ni Bora kuliko kutojaribuKama hujawahi fanya biashara hiyo na kujua changamoto zake, sikushauri kuchukua mkopo na kuanza hiyo biashara.
Mkopo huwa ni kwa ajiri ya kuimarisha/kukuza/ kuendeleza biashara ambayo tayari ipo.
Falsafa ya kiwendawazimu. Mfano mtu auze nyumba akafanyie biashara hela yote ili akifaulu awe tajiri na akifeli awe mlalahoi. Endapo amekuwa mlalahoi umwambie ni bora kuliko alivyokuwa na nyumba.Ataanza vipi sasa na atajifunza lini? Mi naamini kwenye falsafa ya kufeli ni Bora kuliko kutojaribu
Umemaliza , ZINGATIA HAYA MAELEZOKama hujawahi fanya biashara hiyo na kujua changamoto zake, sikushauri kuchukua mkopo na kuanza hiyo biashara.
Mkopo huwa ni kwa ajiri ya kuimarisha/kukuza/ kuendeleza biashara ambayo tayari ipo.
Basi aendelee kutegemea mshahara maisha yake yote alafu akija kustaafu aje kulilia kikotoo Cha serikaliFalsafa ya kiwendawazimu. Mfano mtu auze nyumba akafanyie biashara hela yote ili akifaulu awe tajiri na akifeli awe mlalahoi. Endapo amekuwa mlalahoi umwambie ni bora kuliko alivyokuwa na nyumba.
We unaona kuna matumizi ya akili hapo?
Uzi ufungwe hapa.Kama hujawahi fanya biashara hiyo na kujua changamoto zake, sikushauri kuchukua mkopo na kuanza hiyo biashara.
Mkopo huwa ni kwa ajiri ya kuimarisha/kukuza/ kuendeleza biashara ambayo tayari ipo.
Kama mtu Hana mtaji wa kufanya biashara, let's say na mshahara unakuta umebana kwenye matumizi yake na familia, mnamshauri Nini akitaka kujikwamua, wabongo bana, ukichukua mkopo kununua gari ya kutembelea(liability) watu Wanaona poa tu ila huyu anayetaka kuanza biashara mnamkatisha tamaa, mleta mada usiogope, hata mo juzi kasema anadaiwa zaidi ya bilioni 500 licha ya kua ndo tajiri namba 1 nchiniUzi ufungwe hapa.
Umeongea ukiwa hali ya kawaida au jazba? Hebu relaaaaxKama mtu Hana mtaji wa kufanya biashara, let's say na mshahara unakuta umebana kwenye matumizi yake na familia, mnamshauri Nini akitaka kujikwamua, wabongo bana, ukichukua mkopo kununua gari ya kutembelea(liability) watu Wanaona poa tu ila huyu anayetaka kuanza biashara mnamkatisha tamaa, mleta mada usiogope, hata mo juzi kasema anadaiwa zaidi ya bilioni 500 licha ya kua ndo tajiri namba 1 nchini
Ukiwa na wazo au jambo lako lenye manufaa usiwashirikishe wabongo......jambo la kwanza kwa mbongo ni kukukatisha tamaa......atakupa kila ugumu WA jambo mpaka ughairi..........Kama mtu Hana mtaji wa kufanya biashara, let's say na mshahara unakuta umebana kwenye matumizi yake na familia, mnamshauri Nini akitaka kujikwamua, wabongo bana, ukichukua mkopo kununua gari ya kutembelea(liability) watu Wanaona poa tu ila huyu anayetaka kuanza biashara mnamkatisha tamaa, mleta mada usiogope, hata mo juzi kasema anadaiwa zaidi ya bilioni 500 licha ya kua ndo tajiri namba 1 nchini
Ungeanza walau na 2M ili utafute njia na changamoto zake ili hata ukipata hassara isikuumize sana na ukipata faida ni vizuri zaidi kwa ajili ya kipindi kijacho ila kama uliwahi kupitapita huko na changamoto zake unazifahamu unaweza kuendeleaWadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15.
Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store.
Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye mshahara.
NAJIONA NIKO SAHIHI,PLEASE KAMA KUNA MKOSOAJI ANISAIDIE
Msimkatishe tamaa mleta mada, jazba za nin tena? Zitaniongezea kipato kwa Leo?Umeongea ukiwa hali ya kawaida au jazba? Hebu relaaaax
Afu tafakari upyaa.