josaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 389
- 116
mimi kijana mwenye umri wa miaka 24 namshukuru mungu nimejaariwa mashine ya ukweli yenye inchi zaidi ya 4 na unene wa kutosha tatizo langu kuwa ninapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa nachukua muda mwingi sana kukojoa na huwa sikojoi mpaka mpenzi wangu anachoka na kunihisi labda natumia dawa au simpendi wengine wamewai kuniambia nina jini mahaba wengine wanadai huwa mawazo yangu hayako pale lakini nikipiga punyeto nakojoa mapema sana nipo kwenye hali tangu nilipobalehe kwakweli inanyima raha hasa nafikilia kwenye swala la kuzaa kama kuna dawa ya kukojoa mapema ili nijitibu hili tatizo