nachukua muda mrefu kwenye gemu bila kukojoa mpaka nisi namuumiza mpenzi wangu

josaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
389
Reaction score
116
mimi kijana mwenye umri wa miaka 24 namshukuru mungu nimejaariwa mashine ya ukweli yenye inchi zaidi ya 4 na unene wa kutosha tatizo langu kuwa ninapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa nachukua muda mwingi sana kukojoa na huwa sikojoi mpaka mpenzi wangu anachoka na kunihisi labda natumia dawa au simpendi wengine wamewai kuniambia nina jini mahaba wengine wanadai huwa mawazo yangu hayako pale lakini nikipiga punyeto nakojoa mapema sana nipo kwenye hali tangu nilipobalehe kwakweli inanyima raha hasa nafikilia kwenye swala la kuzaa kama kuna dawa ya kukojoa mapema ili nijitibu hili tatizo
 
Huna Jini wa mahaba

wewe ungelikuwa na jini wa mahaba usingelikuwa na nguvu za kiume kabisa Usicheze na Jini mahaba. Ninakupa njia hizi 2 ili ukojoe mapema

fanya hivi kila unapofanya mapenzi kabla ya kufanya mapenzi mwambie mpenzi wako awe anakuchezea hilo dushelel lako kwa muda wa

dakika 5 huku, wewe unamuangalia mwili wake Utaweza kukojoa mapema. Njia ya pili unapofanya nae mapenzi uwe unamuangalia sehemu

zake za siri na akili yako uiweke kwenye suala la mapenzi usifikirie mambo ya maisha, utamwaga mapema jaribu kisha uje hapa utupe

feedback.
 
mimi kijana mwenye umri wa miaka 24 namshukuru mungu nimejaariwa mashine ya ukweli yenye inchi zaidi ya 4 na unene wa kutosha tatizo langu kuwa ninapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa nachukua muda mwingi sana kukojoa na huwa sikojoi mpaka mpenzi wangu anachoka na kunihisi labda natumia dawa au simpendi wengine wamewai kuniambia nina jini mahaba wengine wanadai huwa mawazo yangu hayako pale lakini nikipiga punyeto nakojoa mapema sana nipo kwenye hali tangu nilipobalehe kwakweli inanyima raha hasa nafikilia kwenye swala la kuzaa kama kuna dawa ya kukojoa mapema ili nijitibu hili tatizo

Acha uongo wako.!! Huwezi kufanya ngono kama huna hisia,sasa wewe unachukua muda gani mpk usikojoe?? Huyo ni mkeo halali?? nadhani hujui sanaa ya mapenzi ndio tatizo linalokukabili. Kijana unadandia tu bila kuwa na ujuzi nazo.!!
 
Chukuwa dawa hii muombe mpenzi wako akupige dole la nyuma hapo utachusha kiulaini
 
oya mkuu embu eleza una2mia muda gani mpaka kufikia ejaculation ili uweze kusaidiwa kiurahisi
 
Sio wewe tu Mimi mwenyewe Nina same issue
 
Nimepotea njia...
  • Hapana mkuu hujapotea njia, kumbuka pia ni vyema kujifunza toka kwa wengine.
  • :focus: Ndugu josaya , Pia punguza rate ya kukutana na mpendwa wako. Hebu jaribu kupitisha angalau wiki mbili.
  • Na wala usijichua kwa kipindi chote hicho, kumbuka kujichua ndiko kuliko leta hii hali uliyonayo, sababu friction ya mkono na kule kwa mpendwa wako ni tofauti.
​
mimi kijana mwenye umri wa miaka 24 namshukuru mungu nimejaariwa mashine ya ukweli yenye inchi zaidi ya 4 na unene wa kutosha tatizo langu kuwa ninapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa nachukua muda mwingi sana kukojoa na huwa sikojoi mpaka mpenzi wangu anachoka na kunihisi labda natumia dawa au simpendi wengine wamewai kuniambia nina jini mahaba wengine wanadai huwa mawazo yangu hayako pale lakini nikipiga punyeto nakojoa mapema sana nipo kwenye hali tangu nilipobalehe kwakweli inanyima raha hasa nafikilia kwenye swala la kuzaa kama kuna dawa ya kukojoa mapema ili nijitibu hili tatizo
 
Last edited by a moderator:
Mwl rct Kweli kabisa you made a point hapo Sana
 
Acha uongo wako.!! Huwezi kufanya ngono kama huna hisia,sasa wewe unachukua muda gani mpk usikojoe?? Huyo ni mkeo halali?? nadhani hujui sanaa ya mapenzi ndio tatizo linalokukabili. Kijana unadandia tu bila kuwa na ujuzi nazo.!!

kwani amekwambia hana hisia?? yeye amesema tatizo lake ni kuchelewa kufika kileleni wewe unakurupuka kumtolea maneno ya kashfa... sio vizuri kama huna cha kuandika si bora ungepiga kimya tu..
 
Madhara ya kupiga punyeto hayo...! Jitahidi kuacha kupiga puchu japo itahitaji courage ya hali ya juu mno, ukiendelea na puchu itafika mahali uko kwenye ndoa lakini utamuacha mkeo kitandani ili ukapate starter bafuni kwanza
 
Back
Top Bottom