Kigorohe
Senior Member
- May 21, 2019
- 160
- 255
Olewa kabsa make sisi wakurya tukipenda tumependa hatunaga pigi sisi. Upendo upendo kweli ndoa ndoa kweli. Karibu tarime mjini uliyobakiwaNimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje