Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
Olewa kabsa make sisi wakurya tukipenda tumependa hatunaga pigi sisi. Upendo upendo kweli ndoa ndoa kweli. Karibu tarime mjini uliyobakiwa
 
Wale jamaa wanachotaka kwa wake zao ni utiifu, heshima basi.
usipofanya hayo ndo utakapojua futari ni mboga au ugali!

Mimi kwetu huko wajita nikiendaga kusalimia nawaonaga et
 
Uwii pole sna mama in advance , utakula kichapo mpaka utachakaa

Huo u slay queen wako utaisha within a week hawa jamaa ukimnyima tu papuch kazima atoe taya

Na ubaya wao hawajui kutayarisha wakati wa kula papuch ni mwendo wa kudandia tuu kama unadapia boda boda vile
 
"...serious wa kunioa...."

Hivi is there nothing else that matters?
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
Hongera
 
Binti hauolewi na wakurya unaolewa na mpenzi wako.
Chunguza tabia za mpenzi wako individually, the rest is non of your business.
Wakurya Ni walewale hata awe mlokole lazima ampige mke wake.
Wakurya wanaona wanawake Ni takataka.
 
Ndio umeamua kuja kuanika mambo yetu huku , nyarukundo
 
Bora ukawa single mother!
Ukanda huo ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa.

Hao wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe.

Hutawaweza. Utanikumbuka.
 
Utapendwa hadi uchukie kupendwa ila ukishazaa mapenzi yatapungua yataenda kwa watoto kina robi na wenzake
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
hustahili kuolewa huku. una kiherehere. huku panahitaji utulivu
anyway kama uliolewa tupe mrejesho.
mi nipo hapa tarime mjini
 
Mchungulie kaanza maana wengi wao hawakati ni mkono wa sweta
mkurya mkono wa sweta? ,wewe unaota si bure
sisi ndo wale tunatahiriwa katika umri wa balehe yaani miaka 14 hadi 20. tohara ni kukutoa utoto na kuwa mtu mzima
tena tunatahiriwa bila ganzi . tunatahiriwa katika umri unaweza kuoa
 
Back
Top Bottom