Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
[emoji3][emoji3]sijamuona kule
Alishakukubali relax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishakukubali relax
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita ni vita muraaaa.....jiandae kua Punching bag time si ndefu
Kumbee[emoji849]sio wewe ndo trouble maker
Alishakukubali relax
Mimi nimeshaongea naeMshawishini baasi maana yashanifika shingoni.
Mimi nimeshaongea nae
Acha kumtisha mwenzako, Wakurya ni watu poa sana, na wanajali mwanamke.Utapigwaa makofi na mangumi[emoji12]
na kuhong'a mang'ombe mpo vizuriAchana na huyo hawakawii kukukata panga. Njoo kwa mimi msukuma.
Si unajua tunavyojua kupenda.
na kuhong'a mang'ombe mpo vizuri
Mikate laini toka Kenya, aisee umenikumbusha mbali.Karibu mama karibu sirari border ya wajanja, mji umechangamka huu, kila biashara inaenda, huku kwetu hamna njaa njaa tunalima mahindi, muhogo, viazi, maharage utakula utashiba.
Sirari inapakana na Kenya shopping zetu tunaenda kufanya huko vitu bei chee, lakini pia kuna amani ya kutosha.
Sawa mkurya[emoji14]Acha kumtisha mwenzako, Wakurya ni watu poa sana, na wanajali mwanamke.