Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Mkuu karibu sana pande hizi,ila angalizo dharau kwa mmeo kwa namna yeyote ile makofi yatakuhusu,maneno meengi kama chiriku kwa mmeo mikwaju ya bakola itakuhusu,kushindwa kumtekelezea mmeo mahitaji muhimu kwa muda sitahiki,chakula,mgegedo,nk mikwaju pia itakuhusu,
Ila wakurya wanajari sana hasa kwa mwanamke anae tii,pia jiandae kukamua maziwa na kunywa maziwa ,karibu sana shemeji
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
Wewe tabia zako zikoje

tuambie ili tujue kama utaendana na watu wa jamii yetu.
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
1. Ukiendelea na tabia yako ya mafiga matatu atakugecha
2. Acha tabia ya umbea
3. Kuwa mnyenyekevu

Utafurahia sana ndoa ya mme wa Musoma
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
mimi ni mkurya tabia yetu ni hii kitu tunachopenda ni ukweli na uaminifu na mtu mwenye maamuzi, kama una hisi hutaweza hapa bora uachane naye maana utaona hii dunia ni chungu kama hutafuata amri yake anayoitaka kwenye mji wake
 
Mchungulie kaanza maana wengi wao hawakati ni mkono wa sweta
 
Back
Top Bottom