Nacte aplication up to 9 sept.

Nacte aplication up to 9 sept.

Inachonichekesha ni kwamba,nacte walianza mwezi wa tatu kwenye tar 18 hv kuruhusu watu wa aply,tcu wakaja baadae wakafanya yao wakamaliza na form six ni wengi sana kuliko diplomas,Nacte tunapelekwa 2 kama 2mepanda trekta,tcu wamepanda ki2 gani sijui maana hadi selection watu wa tcu wameziona

Kuwa na subira ndg yangu
 
National Council for Technical
Education (NACTE)
Selection itafanyika baada ya wiki
hizi mbili za kuomba vyuo.
Like · Reply · 10 hours ago
N,jamani mi nimehamisha toka kwa rafiki yenu nakte
 
hapa me mwenyewe napata utata kidogo,hasa juu ya profile za diploma qualifications,juzi me nilicheki ya mtu wangu inasema the system is currently closed,ila tangu walipotoa tangazo kuwa the system is now open sijaangalia,kwa aliyeangalia kati ya jana na leo kuna mabadiliko?pili,naona tangazo la nacte linawalenga wale ambao walikuwa hawaja-apply kabisa japo wameweka neno and 'those who are in the system' kwenye tangazo lao la hivi karibuni kitu ambacho sijaelewa hao ndo wepi ukizingatia kuwa nacte haijatoa majina ya waliokosa kwenye second round application,sasa hapo ndo sijaelewa.lakini kama kuna aliyeapply akakosa ile round ya kwanza na jina lake lilitolewa na nacte,atusaidie kuwa profile yake ilibaki vilevile au ilibadilika?
 
Back
Top Bottom