NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

Nyie watu wa nacte njoon mtujibu haya maswali yetu chuo kikishushwa hadhi manaake nini? maana waathirika zaid ni wanafunzi na wazazi sio hao wenye chuo.mwanafunzi anapata athari gani?
 
du hawa mawingu mm ndiyo siwezi kuangalia kabisa sauti kama inatoka kwenye shimo hivi wenyewe hawaisikii?..

mi hiki kituo hata huwa sikielewi, ni cha muda mrefu lakini huwa ubunifu ni zero!! wakati mwingine unakuwa unaangalia hizo picha utandhani unaangalia kupitia YouTube!! low quality, kwa majanga wanaanza tbc, kisha wao taarifa za habari zenyewe mmmm!!! hata clouds tv, nao wajipange sana kwenye upande wa tv ni kama nao walikurupuka tu,.
 
Kuba tangazo mwenge mataa kuna chuo cha 'Mbwa' !!! mnaohitaji wapigieni namba ziko kwenye bango. mi bado nasomesha wanadamu sijafika huko
 
Back
Top Bottom