kemanya.umusubhi
Member
- Jul 31, 2014
- 76
- 27
Nyie watu wa nacte njoon mtujibu haya maswali yetu chuo kikishushwa hadhi manaake nini? maana waathirika zaid ni wanafunzi na wazazi sio hao wenye chuo.mwanafunzi anapata athari gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi hiki kituo hata huwa sikielewi, ni cha muda mrefu lakini huwa ubunifu ni zero!! wakati mwingine unakuwa unaangalia hizo picha utandhani unaangalia kupitia YouTube!! low quality, kwa majanga wanaanza tbc, kisha wao taarifa za habari zenyewe mmmm!!! hata clouds tv, nao wajipange sana kwenye upande wa tv ni kama nao walikurupuka tu,.