milinga godfrey
Member
- Aug 13, 2012
- 18
- 0
in progress duuuuuuuuuuui
mdau napenda kuingia kwenye profile yangu ivi nafanyaje nisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
in progress duuuuuuuuuuui
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!
Nacte sasa imeanza kuonesha uhai kwa wanafunzi wa diploma baada ya sintofahamu kwa muda mrefu... Unaweza kuingia kwenye profile yako ukaona mabadiliko waliyoyafanya..
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!
mim nimeaply st john bachelor of commerce with education lakini katika majina waliotoa majina ya hii program hayapo,nimewapigia simu hawapokei,unanishaurije mkuu
mdau napenda kuingia kwenye profile yangu ivi nafanyaje nisaidie
Msg ya stay calm bado ipo?
Kwani jina lako limetoka?
Bado ipo mkuu
Hii sijaielewa kabisa hata mimi kwenye profile pict yangu wametoa status na hawajaweka chochote
Bado ipo mkuu
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!
Kwani ulichagua chuo kimoja tu mkuu? Angalia na kule kwingine labda umepata huko kwingine. Na kama kozi nzima majina hayapo basi labda msubiri second batch!! Ila angalia vyuo vyote ulivyokuwa umeomba!!mim nimeaply st john bachelor of commerce with education lakini katika majina waliotoa majina ya hii program hayapo,nimewapigia simu hawapokei,unanishaurije mkuu
Labda nyie wa vyuo vingine, sisi wa SUA tumeshajua wote tulioomba kupitia NACTE ndo maana nasema hakuna haja ya kuhangaika na NACTE bali unaenda moja kwa moja kwenye website ya chuo ulichokuwa umeomba. Kama wametoa utalikuta huko hata kama NACTE hawajatoa majina!! Wewe ndo unapotosha kusema 95% ya waombaji hawajachaguliwa!!mkuu unapotosha, takribani 95% ya waombaji hatujachaguliwa so nacte imeshatoa taarifa kuwa hadi j3 watu wataona ktk profile zao. Kama umeshapata tuliza ball
Now nimefungua tcu, ukifika pale kwenye diploma holder hapafunguki
Da! Kwel hapafunguk
Labda nyie wa vyuo vingine, sisi wa SUA tumeshajua wote tulioomba kupitia NACTE ndo maana nasema hakuna haja ya kuhangaika na NACTE bali unaenda moja kwa moja kwenye website ya chuo ulichokuwa umeomba. Kama wametoa utalikuta huko hata kama NACTE hawajatoa majina!! Wewe ndo unapotosha kusema 95% ya waombaji hawajachaguliwa!!
Mkuu kidogo nichanganye ID yako na Mulugo kumbe wewe ni murugu!!acha kuwapotosha wenzio majibu ya mliyoyataka si yamewekwa sasa na mmeambiwa mpaka jtatu subirini yanakuja na pa kucheck penye uhakika ni kwenye profile yako