NACTE wafanya mabadiliko

NACTE wafanya mabadiliko

Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!

acha kuwapotosha wenzio majibu ya mliyoyataka si yamewekwa sasa na mmeambiwa mpaka jtatu subirini yanakuja na pa kucheck penye uhakika ni kwenye profile yako
 
Nacte sasa imeanza kuonesha uhai kwa wanafunzi wa diploma baada ya sintofahamu kwa muda mrefu... Unaweza kuingia kwenye profile yako ukaona mabadiliko waliyoyafanya..

mdau unafanyaje kuingia kwenye profile yangu mi wa diploma maana kila nikiweka hiyo email na passwrd naambiwa no matchn data
 
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!

mim nimeaply st john bachelor of commerce with education lakini katika majina waliotoa majina ya hii program hayapo,nimewapigia simu hawapokei,unanishaurije mkuu
 
Kwani jina lako limetoka?
 
Hii sijaielewa kabisa hata mimi kwenye profile pict yangu wametoa status na hawajaweka chochote
 
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!

mkuu unapotosha, takribani 95% ya waombaji hatujachaguliwa so nacte imeshatoa taarifa kuwa hadi j3 watu wataona ktk profile zao. Kama umeshapata tuliza ball
 
mim nimeaply st john bachelor of commerce with education lakini katika majina waliotoa majina ya hii program hayapo,nimewapigia simu hawapokei,unanishaurije mkuu
Kwani ulichagua chuo kimoja tu mkuu? Angalia na kule kwingine labda umepata huko kwingine. Na kama kozi nzima majina hayapo basi labda msubiri second batch!! Ila angalia vyuo vyote ulivyokuwa umeomba!!
 
mkuu unapotosha, takribani 95% ya waombaji hatujachaguliwa so nacte imeshatoa taarifa kuwa hadi j3 watu wataona ktk profile zao. Kama umeshapata tuliza ball
Labda nyie wa vyuo vingine, sisi wa SUA tumeshajua wote tulioomba kupitia NACTE ndo maana nasema hakuna haja ya kuhangaika na NACTE bali unaenda moja kwa moja kwenye website ya chuo ulichokuwa umeomba. Kama wametoa utalikuta huko hata kama NACTE hawajatoa majina!! Wewe ndo unapotosha kusema 95% ya waombaji hawajachaguliwa!!
 
Sua pengine wamewahi kuhakiki majina waliyopelekewa na Nacte, kwengine bado mkuu kuwa muelewa hata udom wametoa ya form 6 tu ndio ujue kwamba wa Diploma bado.
 
acha kuwapotosha wenzio majibu ya mliyoyataka si yamewekwa sasa na mmeambiwa mpaka jtatu subirini yanakuja na pa kucheck penye uhakika ni kwenye profile yako
Mkuu kidogo nichanganye ID yako na Mulugo kumbe wewe ni murugu!!

Sijawapotosha mkuu ni ushauri tu maana hata sisi wenyewe ni wadau wa nacte lakini tumechoka kusubiri ikabidi tuangalie kwenye vyuo tulivyokuwa tumeomba na kweli tumekuta majina yetu huko!! Ndo maana nikawashauri kwamba waangalie kwenye website za vyuo walivyokuwa wameomba. Sikumaanisha kwamba wafunge safari kutoka huko kwenu Nakapanya mpaka vyuoni!
 
Back
Top Bottom