Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Cha msingi hapa ni kujua hiyo capacity ni ya nini kwasababu zingine capacity zinasoma negative number sasa sijui inakuaje au negative inamaanisha idadi ya watu waliozidi na kama ni hivyo ikisoma zero inamaana idadi ya walioomba na capacity vimefanana by theway najaribu tu kuchanganua.kwa anayefahamu jamani tusaidieni vichwa vinauma.
Dizain kama 4m 6 wanachukua nafasi zetu au inakuwaje?maana sielewi....
Alafu udsm wanawanyanyapaa sana watu wa diploma....ngoja tusikilizie wadau...maana nasikia hayo mambo ya sec round yanazingua sana...alafu lisystem lao libovu...linazingua kishenzi....tuandae nauli tu kabisa kwa ajili ya kuwatimbia
kwa hiyo hawa jamaa ndiyo watakuwa wanakwapua zile nafasi zetu zote?? maana kuna vyuo ninavifahamu huwa vinatoa vipaumbele zaidi kwa watu wa diploma kuliko hata wale wa fm6 lakini hata hivyo vyuo pia hali ni ile ile. capacity yake mwanzo ilikuwa inasoma hadi kwenye 60 naa.. lakini hivi sasa zinasoma hadi kwenye 5.... sijui ndiyo tumetengwa hapa??
Nasikia izo capacity sometimes sio za ukweli
Hiv inawezekana umeapply chuo ukakosa kabisa mi naona kama ni uongo yan nitoe alfu hamsin yang halaf waninyime chuo sitowaelewa kwa kwel
itakua hvyo mana hata mimi wakati nawauliza walijibu huwa tunaweka tu ila huwa tunaziongeza pia. halafu waliacha hoi niliwapa swali
Baed Udsm ktk guide book wamesema wanataka an approprite diploma with CREDIT, B+ or everage of B
Nikawaambia nina gpa 3.0 je hiyo ndio ipi ni B+ au average of B? what i knw Credit Ni Gpa 3.5 n' above.
je 3.0 ni nini? wakasema hawajui dah nilichoka.
Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewaMe binafsi nishakata tamaa kabisa ktk profile hakuna jipya tangu tar.6/9 na selection wameshatoa na cjachaguliwa kokote!