NACTE wangefanya kama TCU

NACTE wangefanya kama TCU

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Hawa jamaa NACTE kwa kweli wangefanya kama TCU kuandika assurence za selection kuliko kunyamaza tu kama sasa wanatuweka Roho juu watu wa Equiualent, Maana profile zipo vile2 wameongeza muda mpaka kesho na sehem ya Uhitaji yaani Capacity mpaka kozi zingne wameweka mpaka Negative no kwa maana zimejaa.

Tuombe Mungu kupata ni Majaliwa.
 
Hata mimi nimeona sikuelewa kwakweli wenye uzoefu na haya mambo njooni huku mtusaidie please
 
Dizain kama 4m 6 wanachukua nafasi zetu au inakuwaje?maana sielewi....
 
Ukiingia kwa sasa utakuta ujumbe huu
admission status
admission closed !!!
admission closed on 06/09/2014 !!!
na ile option ya kureset haipo tena.....sasa waliposema deadline ni tar 12 sijui walikuwa na malengo gani...wanazingua sana....chuo nilichokuwa nakitegemea sana kupata kwa adm capacity ni zero kwa sasa
 
Cha msingi hapa ni kujua hiyo capacity ni ya nini kwasababu zingine capacity zinasoma negative number sasa sijui inakuaje au negative inamaanisha idadi ya watu waliozidi na kama ni hivyo ikisoma zero inamaana idadi ya walioomba na capacity vimefanana by theway najaribu tu kuchanganua, kwa anayefahamu jamani tusaidieni vichwa vinauma.
 
Cha msingi hapa ni kujua hiyo capacity ni ya nini kwasababu zingine capacity zinasoma negative number sasa sijui inakuaje au negative inamaanisha idadi ya watu waliozidi na kama ni hivyo ikisoma zero inamaana idadi ya walioomba na capacity vimefanana by theway najaribu tu kuchanganua.kwa anayefahamu jamani tusaidieni vichwa vinauma.

Nacte ni wahuni mimi mwenyewe siwaelewi kaka, BAED UDOM eti capacity -1 sasa huku si kutuchanganya tu.
 
Dizain kama 4m 6 wanachukua nafasi zetu au inakuwaje?maana sielewi....

hata mimi niwewaza hilo mkuu, imagine baed udsm 4m6 wame appy watu elfu 8 kati ya hao watu elfu 6 wana sifa. kati ya hao elfu 6 watu elfu 3 wameijaza kama first choice na uwezo wa chuo ni watu elfu 1 naa

hapo hapo hapo sisi wa equivalent capacity ni 10 yani nafasi zetu ni 10 tu dah!
 
Alafu udsm wanawanyanyapaa sana watu wa diploma....ngoja tusikilizie wadau...maana nasikia hayo mambo ya sec round yanazingua sana...alafu lisystem lao libovu...linazingua kishenzi....tuandae nauli tu kabisa kwa ajili ya kuwatimbia
 
mimi nipo hapa hapa, nadhani j3 nitawatimbia. wakati wa ku apply nilishatiwatimbia pale pale, kuna course ktk guide book inaoneshwa ni priority nikaijaza katika ku apply ikajibu ni non priority ndo nikawatimbia pale pale,

niliwahoji pia why capacity ni 10 tu! hii huwa tunaweka tu ila sometime tunaongeza kutokana na matakwa ya vyuo. NACTE NI MAJANGA aisee
 
kwa hiyo hawa jamaa ndiyo watakuwa wanakwapua zile nafasi zetu zote? maana kuna vyuo ninavifahamu huwa vinatoa vipaumbele zaidi kwa watu wa diploma kuliko hata wale wa fm6 lakini hata hivyo vyuo pia hali ni ile ile.

Capacity yake mwanzo ilikuwa inasoma hadi kwenye 60 naa lakini hivi sasa zinasoma hadi kwenye 5.

Sijui ndiyo tumetengwa hapa??
 
kwa hiyo hawa jamaa ndiyo watakuwa wanakwapua zile nafasi zetu zote?? maana kuna vyuo ninavifahamu huwa vinatoa vipaumbele zaidi kwa watu wa diploma kuliko hata wale wa fm6 lakini hata hivyo vyuo pia hali ni ile ile. capacity yake mwanzo ilikuwa inasoma hadi kwenye 60 naa.. lakini hivi sasa zinasoma hadi kwenye 5.... sijui ndiyo tumetengwa hapa??

halafu hawatoi any update wakuu, me tangu ni apply mabadiliko nayaona kwenye capacity tuuu. Eligibility ipo vile vile in progress dah cjui hata mpaka lini.

napita jf kila muda kuchek kama kuna kipya. wakuu atakayeona any changes ktk eligibility tushtuane hapa.
 
Hiv inawezekana umeapply chuo ukakosa kabisa mi naona kama ni uongo yan nitoe alfu hamsin yang halaf waninyime chuo sitowaelewa kwa kwel
 
Nasikia izo capacity sometimes sio za ukweli

itakua hvyo mana hata mimi wakati nawauliza walijibu huwa tunaweka tu ila huwa tunaziongeza pia. halafu waliacha hoi niliwapa swali

Baed Udsm ktk guide book wamesema wanataka an approprite diploma with CREDIT, B+ or everage of B

Nikawaambia nina gpa 3.0 je hiyo ndio ipi ni B+ au average of B? what i knw Credit Ni Gpa 3.5 n' above.

je 3.0 ni nini? wakasema hawajui dah nilichoka.
 
Hiv inawezekana umeapply chuo ukakosa kabisa mi naona kama ni uongo yan nitoe alfu hamsin yang halaf waninyime chuo sitowaelewa kwa kwel

haah haah haah kaka hawa aminiki hawa jamaa! unaweza kupata ila TEKU,JOSHUA KIBIRA, JORDAN n' the like
 
Me binafsi nishakata tamaa kabisa ktk profile hakuna jipya tangu tar.6/9 na selection wameshatoa na cjachaguliwa kokote!
 
Mleta Mada Unamawazo Kama Yangu Hadi Nikaanzisha Uzi Sema Sikujua Kama Tunapitia NACTE nkasema TCU.
 
itakua hvyo mana hata mimi wakati nawauliza walijibu huwa tunaweka tu ila huwa tunaziongeza pia. halafu waliacha hoi niliwapa swali

Baed Udsm ktk guide book wamesema wanataka an approprite diploma with CREDIT, B+ or everage of B

Nikawaambia nina gpa 3.0 je hiyo ndio ipi ni B+ au average of B? what i knw Credit Ni Gpa 3.5 n' above.

je 3.0 ni nini? wakasema hawajui dah nilichoka.

Yani mambo yao hata hayaeleweki kwakweli tusubiri tuu io next week watasemaje tena
 
Back
Top Bottom