Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewa
Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewa
sorry,nazungumzia tulioaply dip ya ualimu kupitia nacte
me binafsi nishakata tamaa kabisa ktk profile hakuna jipya tangu tar.6/9 na selection wameshatoa na cjachaguliwa kokote!
Hiv inawezekana umeapply chuo ukakosa kabisa mi naona kama ni uongo yan nitoe alfu hamsin yang halaf waninyime chuo sitowaelewa kwa kwel
mnanichekesha sana wadau...kupata chuo utapata ila tatizo ni kwamba utapata chuo unachotaka?vyuo vipo vingi kama st joseph st augustino mwanza kampala university mwalimu nyelele memorial,inst of procuremen nk hv vyote nna uhakika bado havijajaa...ila ndo tujipange kusoma koz tusizozipenda au fani tunazozipenda ila ktk vyenye ada kubwa
Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewa
selection hawajatoa bwana labda huyo ni wa TCU, lakini NACTE bado@Twissa
Kwakweli nami naumiza kchwa kama wenzangu humu, nacte inatuchanganya inapoweka capacity zero halafu hawatoi maelekezo tunapata mchecheto tu.
Hatuna hata mwenye uelewa humu atusaidie jamani?
Looh tunatia huruma kwakwel mimi leo nimeingia kwenye profile yangu yan gpa iliyokua jana na leo ni tofauti nimebaki nashangaa tuu sasa sijui system zao ni mbovu au vipi na kuna rafiki yang kakuta details zilizoko sio zake ni za mtu mwingne but saiv kalogin tena kakuta details zake zimerudi
Dear ************* Your are advised
to stay cam while we are processing your
application, Incase of any issue NACTE will
contact you via provided email address or phone
number.
wangetoa eligibility
status mapema watu tuprocess ruhusa kwa waajiri, cjui wanafikiri wote
tumejiajiri lol. Kweli bongo magumashi
ingekua wazungu kitambo mambo hadharani
22 september 2014 mzigo unatoka jamani