NACTE wangefanya kama TCU

NACTE wangefanya kama TCU

me binafsi nishakata tamaa kabisa ktk profile hakuna jipya tangu tar.6/9 na selection wameshatoa na cjachaguliwa kokote!

haliyetoa selection nani na waph,mi nachojua selection bado, wametoa wale waliokosea tcu, nacte equivalent bado.
 
Hiv inawezekana umeapply chuo ukakosa kabisa mi naona kama ni uongo yan nitoe alfu hamsin yang halaf waninyime chuo sitowaelewa kwa kwel

mnanichekesha sana wadau...kupata chuo utapata ila tatizo ni kwamba utapata chuo unachotaka? vyuo vipo vingi kama st joseph st augustino mwanza kampala university mwalimu nyelele memorial, inst of procuremen nk hv vyote nna uhakika bado havijajaa...ila ndo tujipange kusoma koz tusizozipenda au fani tunazozipenda ila ktk vyenye ada kubwa.
 
mnanichekesha sana wadau...kupata chuo utapata ila tatizo ni kwamba utapata chuo unachotaka?vyuo vipo vingi kama st joseph st augustino mwanza kampala university mwalimu nyelele memorial,inst of procuremen nk hv vyote nna uhakika bado havijajaa...ila ndo tujipange kusoma koz tusizozipenda au fani tunazozipenda ila ktk vyenye ada kubwa

wakuu mambo yakijipa tushtuane kwenye uzi huu huu.
 
Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewa

selection hawajatoa bwana labda huyo ni wa TCU, lakini NACTE bado@Twissa

Kwakweli nami naumiza kchwa kama wenzangu humu, nacte inatuchanganya inapoweka capacity zero halafu hawatoi maelekezo tunapata mchecheto tu.

Hatuna hata mwenye uelewa humu atusaidie jamani?
 
Naamini Had J3 watakua wametoa
 
Looh tunatia huruma kwakwel mimi leo nimeingia kwenye profile yangu yan gpa iliyokua jana na leo ni tofauti nimebaki nashangaa tuu sasa sijui system zao ni mbovu au vipi na kuna rafiki yang kakuta details zilizoko sio zake ni za mtu mwingne but saiv kalogin tena kakuta details zake zimerudi
 
duh! kwel majanga
 
kwa sasa system ya NACTE inasema keep calm while they are processing machaguo yetu.

Habari njema ni kwamba capacity zimeongezeka sana yaani matumaini ya kupata nafasi ya Ile kozi tunazozitaka kwenye vyuo ambavyo tumechagua yapo kwa sasa.
 
Dear ************* Your are advised
to stay cam while we are processing your
application, Incase of any issue NACTE will
contact you via provided email address or phone
number.
 
Dear ************* Your are advised
to stay cam while we are processing your
application, Incase of any issue NACTE will
contact you via provided email address or phone
number.

kindly be informed dat tcu and nacte wll jointly release names of applicants on 22nd september 2014
 
wangetoa eligibility status mapema watu tuprocess ruhusa kwa waajiri, cjui wanafikiri wote tumejiajiri lol. Kweli bongo magumashi
ingekua wazungu kitambo mambo hadharani
 
wangetoa eligibility
status mapema watu tuprocess ruhusa kwa waajiri, cjui wanafikiri wote
tumejiajiri lol. Kweli bongo magumashi
ingekua wazungu kitambo mambo hadharani

22 september 2014 mzigo unatoka jamani
 
We ndo unajua Leo nacte nao wameshatoa interim riport for first batch ila ukifungua wanakwambia iko under construction. Maana yake ni kwamba hizo ndo dalili j3 Kila wazi.
 
jana watu wa TCU wanasema matokeo yalikuwa hewani kwa dk 45 hivi, je na sisi wa acte walioangalia mda huo yalikuwa hewani?

Ni kweli tuwe wavumilivu lkn suala la matokeo ni kitu kingine lazima tuwe na mchecheto maana ndiyo hatma yetu, je tutapata kozi na chuo tulichokiomba?

Mola jaliaaaaa!
 
Back
Top Bottom