NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

Majukumu waliokuwa nayo yalikuwa mzigo mzito kwao hadi inapelekea usumbufu mkubwa hasa kwa wanafunzi wa vyuo kupandishiwa matokeo yao na wengi wakiwalalamikia sana kwa hilo.

Uwaongezee na hayo tena sindio wataflop kabisa.

Ila nawatakiwa kila la kheri kutimiza wajibu wao kwakili ya wengi
 
Samahana naomba kuuliza jamani, ivi sheria ya mwanafunzi wa bachelor degree mwaka wa pili kutoruhusiwa kucarry somo kwenda nalo mwaka wa tatu ni vyuo vyote au ni chuo changu tu? (Maana hii nactvet, nashindwa kuelewa)
Naomba msaada.
 
Back
Top Bottom