NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake.

NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha upatikanaji wa namba za simu za Ofisi za Kanda za NACTVET zilizopo nchini kote.
WhatsApp Image 2026-07-30 at 08.29.25.jpeg

Pia soma
~
NACTVET hawana huduma nzuri kwenye simu, ukiwapigia wanasema "Fanya fasta tuna kazi nyingine za kufanya"
~ Namba za huduma NACTVET hawapokei, wakipokea hakuna anayezungumza
~
NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao
~ Tunaenda NACTVET Mikocheni tunakaa siku nzima bila kuhudumiwa, majibu yao "Hakuna Mtandao"
 
Watumie na baruapepe , dunia imebadilika wao wako vilevile.
 
Wafanye na maboresho ya kupanda miti maana vyuo vingi vya veta vina muonekano wa jangwa la Sahara.
 
Back
Top Bottom