Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
[quote uid=9900 name="Elli" post=15246464]Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?[/QUOTE]We ukishauriwa uliemchagua umepotea utamsikiliza mtu?
...typical subjectivity..kama una medula nzuri utajibu fyongo on ze spoti ila baada ya muda ukiwa alone utajiuliza na kutafakari hau kamu mtu akufuate na kukwambia...
Ila kama ni mbwiga utaanzisha hata valangati na utaenda kumpa live demu "eti bebi abcdzY??..kumbuka what goz araund comez araundi mkuu!