Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

Siyo kama Wema kajipeleka tu, yeye baada ya kuona Idriss kakabidhiwa hundi y amilioni 500 akaona atalamba bingo kwa jinga, kajipendekeza na jamaa kahisi anapendwa. Tusubiri bongo muvi ikichezwa hapa....wakazi wa huko anakoishi Wema wataanza kumiminika jalalani sasa hivi kutafuta picha za Idiss zilizofungwa hirizi. Jamani, muulizeni Domo....yalimkuta haya akachomoka. Mchana anahisi yuko na demu wake, usiku wakienda kulala alikuwa analala na chatu wa kimazingira.
Hahaaaaaaa noma. Noma hahaaaaa
 
hapo tatizo zitakuwa hizo hela za Big Bro labda za mauzauza mbona yule rasta fale ( Richard ) naye alizichenchi mpaka zimeisha cha maana hakuna
kuhusu wema sijui bana mana mtu yeye mwenyewe hajali kesho yake atakushauri nini zaidi ya party
 
ivi wewe mtoa mada who are you hadi uhukumu?
umetumia kigezo gani kusema kwamba Wema ni mbaya amaa hafai?
wewe ndo uliye mzuri, na tabia njema na ambaye aliyekupata wewe hakauna anaye muonea huruma?
stop this nonsense.

Wema as any other woman needs to live her life, na akitoka na yyte yule hakuna wa kumuhukumu kwan so far ni maisha yake. kwan huyo idrissa ana usafi gani sana adi aonekane kwamba Wema ni shimo la mamba yeye amedumbukia?

no wonder unaona wivu just because hata mchepuko wako haujawa kukupa promo kama alopewa Idrissa na Wema.
let them live there life.

Af penda kuwapa wengine benefits of doubt. Hakuna mtu ambaye ni shetan na hakuna pia ambae ni malaika. Mtu akikosea pia anayo nafasi kurekebisha makosa yake kama unadhan kwamba WEMA ni mkosaj sana.
Word.....

Iuna binadamu wanapenda kujipa majukumu yasiyo yao

Kuhukumu watu...kisa wanawasoma kwenye magazeti ya shigongo nankuwaona instagram
 
Siyo kama Wema kajipeleka tu, yeye baada ya kuona Idriss kakabidhiwa hundi y amilioni 500 akaona atalamba bingo kwa jinga, kajipendekeza na jamaa kahisi anapendwa. Tusubiri bongo muvi ikichezwa hapa....wakazi wa huko anakoishi Wema wataanza kumiminika jalalani sasa hivi kutafuta picha za Idiss zilizofungwa hirizi. Jamani, muulizeni Domo....yalimkuta haya akachomoka. Mchana anahisi yuko na demu wake, usiku wakienda kulala alikuwa analala na chatu wa kimazingira.
Wewe ndio mganga wa wema nini? Maana umeng'ang'ania kuhusu hirizi.
Na mpaka kujua mambo ya chatu

Hebu tiririka tafadhali
 
Wewe ndio mganga wa wema nini? Maana umeng'ang'ania kuhusu hirizi.
Na mpaka kujua mambo ya chatu

Hebu tiririka tafadhali

Kaulize majirani zake wa zamani pale Kijitonyama, kwani ni siri....mbona yeye mwenyewe anajuwa na habishi kama anatumia mizizi mwitu.
 
In 2006 Idriss Sultan was in grade 7 when Wema Sepetu was crowned miss Tanzania.
Ten years later, Idriss is expected to be a father to the unborn baby of wema sepetu

Vijana msikate tamaa 🙂
kwa hiyo hapo nani asikate tamaa ? idris or wema, na nani unafirikiri ana hadhi kubwa kuliko mwenzake
 
Muacheni wema apumue jaman..to love and to be loved is one of the greatest happiness of life.
 
kama mwanamke hujawahi kumlala unapata wapi ujasiri wa kumwita malaya au cha wote?
 
Ifike mahari mjifunze kuacha kufatilia maisha ya watu jamani... Mtoto akililia wembe mpe akijikata basi atajifunza... Wameamua kupendana ni wao watafutiane kiki ni wao saa zingine ninyi mnaowafatilia ndo mnafanya wazidi kufanya mapya kwasababu mnawafatilia
Aisee ... Idris na wema asubuhi mchana jokate na alikiba usiku diamond mnalala alfajiri mnaamka na mosee iyobo na aunty jmn....tooooo much

tuliza maku hiyo
 
Back
Top Bottom