Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

We ukishauriwa uliemchagua umepotea utamsikiliza mtu?
[quote uid=9900 name="Elli" post=15246464]Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?[/QUOTE]

...typical subjectivity..kama una medula nzuri utajibu fyongo on ze spoti ila baada ya muda ukiwa alone utajiuliza na kutafakari hau kamu mtu akufuate na kukwambia...

Ila kama ni mbwiga utaanzisha hata valangati na utaenda kumpa live demu "eti bebi abcdzY??..kumbuka what goz araund comez araundi mkuu!
 
Maisha yanabadilika
 

Attachments

  • 1454606201441.jpg
    45.8 KB · Views: 27
In 2006 Idriss Sultan was in grade 7 when Wema Sepetu was crowned miss Tanzania.
Ten years later, Idriss is expected to be a father to the unborn baby of wema sepetu

Vijana msikate tamaa 🙂
 
'kipendacho roho hula nyama mbichi..'
 
Eti Idriss maarufu !!!!!!!! ( wakati hata akikatiza mitaani hakuna anayehisi uwepo wake)
Eti na wema ni maarufu !!!!!!!! ( hakuna hata kampuni aliyoweza kuishawishi wamtumie kwenye biashara zao)
Wema alishafany tangazo na airtel wajameni kaah!!
 
In 2006 Idriss Sultan was in grade 7 when Wema Sepetu was crowned miss Tanzania.
Ten years later, Idriss is expected to be a father to the unborn baby of wema sepetu

Vijana msikate tamaa 🙂
U mean this
 

Attachments

  • 1454648401204.jpg
    45.8 KB · Views: 26
Kama hata wewe ungekuwa Idriss ungeacha K kama ile inajileta tu


Siyo kama Wema kajipeleka tu, yeye baada ya kuona Idriss kakabidhiwa hundi y amilioni 500 akaona atalamba bingo kwa jinga, kajipendekeza na jamaa kahisi anapendwa. Tusubiri bongo muvi ikichezwa hapa....wakazi wa huko anakoishi Wema wataanza kumiminika jalalani sasa hivi kutafuta picha za Idiss zilizofungwa hirizi. Jamani, muulizeni Domo....yalimkuta haya akachomoka. Mchana anahisi yuko na demu wake, usiku wakienda kulala alikuwa analala na chatu wa kimazingira.
 
Wema ndo alimuacha Mondi


Ni kwa sababu Mondi alichoka kutumiwa akashituka na kukataa kutoa milioni 10 kila mara za kwenda kutunza wanaume jukwaani ili chatu mtu ajitangaze kwa wanaume wengine kuwa ana hela kupitia mgongo wa Mondi.
 
...seriously,siku hizi unafeli sana kwenye reasoning!
 
...seriously,siku hizi unafeli sana kwenye reasoning!
so kufaulu kwangu kungekua ni kukubali kwamba Wema ni mbaya na mkosaji kuliko wanawake wengine wote kiasi kwamba Idrissa hastahili kuwa nae? achen double standard na udhalilishaj kwa wanawake.

narudia tena huo ubaya ambao leo hii wema mnasema anao, je huoni ni kwasabb yeye maisha yake yanatangazika zaid? hivi umewaza kwamba kuna mwanamke anaweza kuwa anatembea na wanaume hata 100, na akajulikana malaya wa kutupwa lkn bado akaja kupata mtu, tena ambaye anamjua kwamba ni malaya akamuoa na akatulia? kama hii credit unaweza kuwapa wanawake wengine why not Wema?
 
Eti Idriss maarufu !!!!!!!! ( wakati hata akikatiza mitaani hakuna anayehisi uwepo wake)
Eti na wema ni maarufu !!!!!!!! ( hakuna hata kampuni aliyoweza kuishawishi wamtumie kwenye biashara zao)
Itakua wewe Wema unamsoma kwenye magazeti ya pale She-gongo ni balozi wa kampuni ya Darling Hair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…