Ndio mkuu, anatoka na Majizle, si unajua tena mapenzi ni upofu na uziwi juuUna Maanisha Majizle 4 Shizle Manizle? Ina maana amesahau ya Seki,kanumba na komba?
Mh! Na akililia Papuchi!? Maana hawa watoto wa siku hizi hawatabiriki.Mtoto akililia wembe mpe
Sio kwa Utabiri huu binamu.atasema matusi aliyotukanwa yamesababisha mimba kutoka, hajaja
"...Kutoka na wema siku hizi imekuwa fashion sio mapenzi"Mmmmh,
Mpaka kufika hatua ya kutoka na Wema Sepenga.Hivi hawa watu hawana familia labda za kuwashauri kwamba bwana hapa umepotea etc etc