Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

Hili na mm nilikua nafikir kimya kimya kumbe wakuu mmeliona binafc namsikitikia kijana mwenzangu idrisa na sina sababu ya kimuonea wivu kwa sababu simjui hanijui na huyo wema hatujawahi hata kikutana supper market
 
Napinga Hoja yako kwa kutumia kifungu cha Na. 16 ibara 3 na kifungu kidogo 1.1 kinachosema mtoto wa mwenzio ni wako mlee na umthamini sasa huyu mmama anabemenda vitoto vya watu, kwa hiyo kifungu na 16 kinamtia hatiani kwani amefanya kosa la kubaka wakati anajua ana umri mkubwa.
 
Mbona mimi hamnifuatilii?
Ni Wema, Idris, Lulu et al....!
Ifike hatua tufanye kazi!
HAPA KAZI TU!
 
Back
Top Bottom