Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
 
Naunga mkono hoja
 
Hata usikivu wa line zao ukipiga au ukipigiwa ni wa hovyo sana, hasa siku za w/end.
Mie ni mdau wao toka longtime kitambo, line yangu ni ile 0784...
Wafanyie kazi mapungufu & kujirekebisha haraka.
 
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Maneno ya kuvutia biashara tu yaani yanakwaza sana una sajili line ukiwa na matarajio utapata Internet yenye kasi ya 4G kam ulivyo elekezwa na ilivyo andikwa kwenye line zao ajabu unakuja kukutana na Internet ya 3G unaeza piga mtu ile hasira inakuja
 
🤣🤣🤣 unaanza kunyanyua mkono kucheki network hadi unatamani utupe simu
 
Nina laini tano Kati ya hizo sina Airtel na sina mpango wa kuisajili hata unipe pamoja na pesa ,kwa tabu nilizopata nayo niliikataa tojea 2018 na kuiacha rasmi.
 
Back
Top Bottom