Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Samahani unafanya kazi voda kitengo gani? Sales au?
 
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Nimetupa line zao zote wajinga kabisa customer care yao no 0
 
Kwangu mi speed kwa airtel iko sawa ila kwa ulaji wa vifurushi ndo siwaelewi siku hizi. Wanatembea mpaka 2.5 mp per second na natumia simu ya kizamani kabisa. Yaani zile tecno za enzi za l 9, k7, LA 7, w5 na c8. Usiniulize nazinunua wapi. Huku simu mpya tunajua ni imfinix smart 9 zingine bado hazijafika ila usiniulize niko wapi
 
Mimi natumia airtel nakaa kinondoni haijawahi kunizingua mbona

Unavolalamikia mtandao flani unasumbua utaje na eneo husika ,unaweza Kuta shida sio mtandao ,shida Iko katika hilo eneo

Au simu unayotumia

Naipenda sana airtel
 
Hawa jamaa kweli kama Halotel 3G HOVYO SANA
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu
 
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Mm natumia Airtel muda mrefu sana, inategemea na aina ya simu unayotumia. Speed nzuri sana labda kama uko kasulu huko
 
Bongo wote waongo, kuna wengine wanajidai 5g, wakati 4g tu ni vipande vipande, ukimove atua Tano tu inachange, and unstable.
 
Hata usikivu wa line zao ukipiga au ukipigiwa ni wa hovyo sana, hasa siku za w/end.
Mie ni mdau wao toka longtime kitambo, line yangu ni ile 0784...
Wafanyie kazi mapungufu & kujirekebisha haraka.
Vipi wewe data hawakuibii
 
Bongo wote waongo, kuna wengine wanajidai 5g, wakati 4g tu ni vipande vipande, ukimove atua Tano tu inachange, and unstable.
5g haijasambazwa maeneo yote, ukiona imebadilika kutoka 5g kuja 4g ujue hilo eneo halina access ya 5g
 
5g haijasambazwa maeneo yote, ukiona imebadilika kutoka 5g kuja 4g ujue hilo eneo halina access ya 5g
Waache kujitapa kwamba speed ya 5g, wakati 3g yenyewe tu ni magumashi sembuse 4g. Labda tungepata starLink
 
Back
Top Bottom