Samahani unafanya kazi voda kitengo gani? Sales au?Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Nimetupa line zao zote wajinga kabisa customer care yao no 0Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
No nipo mwananyamala mkuuUpo anga gani mwenzetu au masaki
Hata mimi natumia airtel naona poa tuHongera mkuu maana wewe ndo umekuwa positive kwenye uzi huu lakin wengine negative
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu
Mm natumia Airtel muda mrefu sana, inategemea na aina ya simu unayotumia. Speed nzuri sana labda kama uko kasulu hukoNadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Vipi wewe data hawakuibiiHata usikivu wa line zao ukipiga au ukipigiwa ni wa hovyo sana, hasa siku za w/end.
Mie ni mdau wao toka longtime kitambo, line yangu ni ile 0784...
Wafanyie kazi mapungufu & kujirekebisha haraka.
5g haijasambazwa maeneo yote, ukiona imebadilika kutoka 5g kuja 4g ujue hilo eneo halina access ya 5gBongo wote waongo, kuna wengine wanajidai 5g, wakati 4g tu ni vipande vipande, ukimove atua Tano tu inachange, and unstable.
Waache kujitapa kwamba speed ya 5g, wakati 3g yenyewe tu ni magumashi sembuse 4g. Labda tungepata starLink5g haijasambazwa maeneo yote, ukiona imebadilika kutoka 5g kuja 4g ujue hilo eneo halina access ya 5g